tablet inauzwa laki nne kamil wah

tablet inauzwa laki nne kamil wah

Joined
Jan 11, 2013
Posts
77
Reaction score
13
ni toshiba tablet T100,INA CAMERA YA MBELE NA NYUMA,WIFI,KIJISEHEMU CHA KUWEKA FLASH@HAPO UNAPATA MUVI KAMA KAWAIDA,INAKAA NA CHAJI MASAA 8,INACHUKUA MUVI NA KUPIGA PICHA..
***BEI LAKI 4 MAELEWANO HAMNA KAMA HUTAKI UNAACHA***
 
Hapo penye red hizo ndio lugha za biashara za kihuni,kumbuka mteja ni mfalme,hata supermarket wanakuwa na punguzo sembuse wewe.
 
ni toshiba tablet T100,INA CAMERA YA MBELE NA NYUMA,WIFI,KIJISEHEMU CHA KUWEKA FLASH@HAPO UNAPATA MUVI KAMA KAWAIDA,INAKAA NA CHAJI MASAA 8,INACHUKUA MUVI NA KUPIGA PICHA..
***BEI LAKI 4 MAELEWANO HAMNA KAMA HUTAKI UNAACHA***

Nna laki mbili.... hutaki acha
 
Nna laki mbili.... hutaki acha
SAMSON RICHARD, nakushauri uchukue hiyo lakimbili. Kwa tablet ya TOSHIBA T100 ni dau zuri mno, labda kama hauzijui tablets, hiyo T100 ni bure kabisa bora ubadlishane na kikango cha vitumbua! HUTAKI ENDELEA KUKAA NALO UCHEZEE ANGRY BIRD!
 
Last edited by a moderator:
samson richard, nakushauri uchukue hiyo lakimbili. Kwa tablet ya toshiba t100 ni dau zuri mno, labda kama hauzijui tablets, hiyo t100 ni bure kabisa bora ubadlishane na kikango cha vitumbua! Hutaki endelea kukaa nalo uchezee angry bird!
sitaki na nimeacha,siwezi kuuza bei hiyo bora nitupe
 
Last edited by a moderator:
Duh! Cpati picha ndo unakutana na huyu jamaa then unapungukiwa buku....kama hajakukata makofi, mambata na mikonzi sijui......
 
Mi nna laki na nusu, zingine nitumia kwenye nauli ya precision kuja kuichukua.
 
Kwa dharau zako kawauzie ndugu zako labda ndo mtaelewana
 
sitaki na nimeacha,siwezi kuuza bei hiyo bora nitupe

katupe site wakudandie kutuchafulia mazingira kwa litablet la toshiba. tablet hata kibaka ataogopa kuliokota kama scraper...afu unaleta lugha za kibwege hapa.
 
ni toshiba tablet T100,INA CAMERA YA MBELE NA NYUMA,WIFI,KIJISEHEMU CHA KUWEKA FLASH@HAPO UNAPATA MUVI KAMA KAWAIDA,INAKAA NA CHAJI MASAA 8,INACHUKUA MUVI NA KUPIGA PICHA..
***BEI LAKI 4 MAELEWANO HAMNA KAMA HUTAKI UNAACHA***

Hata bure kwa lugha kama yako ni manyanyaso!
Kweli asiyejua maana haambiwi maana!
 
siuz kimeo ndo mana nakua ivo na wewe kama htak si unaacha t
kaka akili yako ni sawa na hiyo tablet yako,kwa mtu makini hawezi kutumia tablet kama yako ambayo ni WIFI tu kwa hapa bongo,huenda mjomba/kaka alikuletea bure nawe umeona uuze ,hebu angalia hapa kwenye matangazo tablet zinazouzwa ,tablet yako ingekuwa na mshiko ungekuwa umeshaiuza zamani,hiyo tablet ni kinyago cha mpapule chukua hiyo laki mbili aliyekupa mdau hapo,lasivyo utabakia nayo kama toy la watoto
 
katupe site wakudandie kutuchafulia mazingira kwa litablet la toshiba. tablet hata kibaka ataogopa kuliokota kama scraper...afu unaleta lugha za kibwege hapa.

ungekua hutaki ungesoma thread acha unafki sema huna ela ngabwabwa wewe
 
kaka akili yako ni sawa na hiyo tablet yako,kwa mtu makini hawezi kutumia tablet kama yako ambayo ni WIFI tu kwa hapa bongo,huenda mjomba/kaka alikuletea bure nawe umeona uuze ,hebu angalia hapa kwenye matangazo tablet zinazouzwa ,tablet yako ingekuwa na mshiko ungekuwa umeshaiuza zamani,hiyo tablet ni kinyago cha mpapule chukua hiyo laki mbili aliyekupa mdau hapo,lasivyo utabakia nayo kama toy la watoto

nimekwambia htaki unaacha laki mbili kanunue simu
 
katupe site wakudandie kutuchafulia mazingira kwa litablet la toshiba. tablet hata kibaka ataogopa kuliokota kama scraper...afu unaleta lugha za kibwege hapa.
dogo acha dharau itaku cost mda si mrefu,kama htaki kitu acha
 
uwezi ukatangaza biashara kwa lugha ya kihuni ukategemea tutakufumbia macho. hapa huongei na watu wa mtaani. lugha uliohisi inafaa ya kuwadharau wateja basi jua wapo wenye dharau mara kumi zaidi ako. nenda kajipange upya..
 
Back
Top Bottom