tablet inauzwa laki nne kamil wah

tablet inauzwa laki nne kamil wah

uwezi ukatangaza biashara kwa lugha ya kihuni ukategemea tutakufumbia macho. hapa huongei na watu wa mtaani. lugha uliohisi inafaa ya kuwadharau wateja basi jua wapo wenye dharau mara kumi zaidi ako. nenda kajipange upya..
nakuonya kwa mara ya mwisho
 
ni toshiba tablet T100,INA CAMERA YA MBELE NA NYUMA,WIFI,KIJISEHEMU CHA KUWEKA FLASH@HAPO UNAPATA MUVI KAMA KAWAIDA,INAKAA NA CHAJI MASAA 8,INACHUKUA MUVI NA KUPIGA PICHA..
***BEI LAKI 4 MAELEWANO HAMNA KAMA HUTAKI UNAACHA***

We kunguru kweli,ndo unafanyaje hvo biashara..
 
Punguza njaa wwe si aunt yako amekuletea zawadi?unauza kwa nini?
 
nyote mliochangia katika huu uzi nawaundia tume ya madaktari kuwachunguza...mngekuwa na akili timamu mngemuomba a edit na kubadilisha lugha

Mimi hiyo naitaka hiyo tablet lkn sijajua ni inch ngapi?7" au 10.1"
 
Mkuu 250 inalipa?? Niichukue

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom