macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,160
- 59,938
Nitafute fedha kwa kupangiwa na kufuata sheria kibao na wakati wa kula nipangiwe tena sheria jamani?????? Big NO! Ni sisi waafrika tu na ulimbukeni wetu! Mbona waarabu, wachina na wahindi wana mila zao za kula na wanaziheshimu? BTW Mimi sitakaa nizoee huyu mdudu anayeitwa eti western table manners! Hata ninapokuwa kwenye sehemu zinazohitaji nile kwa mpangilio huo mimi huwa sifurahii kabisa chakula.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Msosi unageuzwa lecture..
Nilialikwa na rafiki yangu mmoja kumbe alikua na wageni wazungu bwana, akaanza kunipa somo jinsi ya kushika uma mara kuweka vitambaa shingoni ili uschafue nguo..
Nkamwambia braza eh, maisha mafupi haya.. sheria hizo tutazifuata tukiwatembelea nchi zao, kama wapo hapa mi nitanawa na nitakula kwa mikono
Respect our culture[emoji41]
Shost aliniambia date alipelekwa dinner sehemu, akashika bakuli la supu na kuanza kuria, akamuana jamaa anaangaza macho, salad ilikuja letuce, nyanya na vipande vya mayai ya kuchemsha, mdada alikamata kwa mkono. Baada ya hapo kila akipiga simu jamaa hapokei.ππ
He he he sasa afanyaje mwee. Ila jamaa naye, hivyo si vitu vya kufundishana tu. Ni bora mtu aagize chakula ambacho amekizoea na hakina mbwembwe kuliwa
Spaghetti unakimbizana nayo,πππHalafu pia ni vizuri kujifunza, sasa kama huyu dada nae utanyanyua vipi bakuli ya soup ukimwaga?
Na toka lini kipande cha nyanya au mfano yai la kukaanga vikashikwa na mkono si vitateleza? Kutumia Uma ni rahisi zaidi.
Halafu haya mambo ya kujifanya sitaki uzungu, kuna mtu alikula spaghetti na mkono hotel, jamani ilikuwa vituko mbona.
Spaghetti unakimbizana nayo,πππ
Kweli kujifunza napo sio mbaya. Sio lazima but ukivijua ni vyema pia na haikudhuru chochote. Si mbaya kwenda na speed ya mwendokasi lolHalafu pia ni vizuri kujifunza, sasa kama huyu dada nae utanyanyua vipi bakuli ya soup ukimwaga?
Na toka lini kipande cha nyanya au mfano yai la kukaanga vikashikwa na mkono si vitateleza? Kutumia Uma ni rahisi zaidi.
Halafu haya mambo ya kujifanya sitaki uzungu, kuna mtu alikula spaghetti na mkono hotel, jamani ilikuwa vituko mbona.
Mmh unataka na me nikashike mayai kwa mkono. Em nipe x-phoza hukoGirl please...lol
Hehehe, huyu katia fora, anakula au anapigana?...halafu kanuna, teh!
Umkute kaka mwenyewe brother men, anaona so hata kuongozana na wewe kutoka nje ya restaurant.Kweli kujifunza napo sio mbaya. Sio lazima but ukivijua ni vyema pia na haikudhuru chochote. Si mbaya kwenda na speed ya mwendokasi lol
Upo sahihi mummy!!View attachment 382713
Huu mpangilio wa cutlery (vijiko, Uma, kisu) kuvitumia kutoka nje kwenda ndani. Vya upande wa kulia utaanza na soup spoon going inside, na kushoto utaanza na salad fork. Kama sijakosea Sky.
Mmh unataka na me nikashike mayai kwa mkono. Em nipe x-phoza huko
Aibu muhimu shoga angu, ila sio kigezo cha kumuacha mtu. Next time alikaneni nyumbani, pikilishaneni mkimaliza tuition ya kula kwa uma sijui kisu tehUmkute kaka mwenyewe brother men, anaona so hata kuongozana na wewe kutoka nje ya restaurant.
Hii nmeleewa, ila ya mwanzo kanuni kama hisabati vileNawa mikono yako vizuri, futa maji kwa kitambaa, chukua sahani yako,weka chakula kadiri ya mahitaji yako baada ya hapo soma dua/neno anza kukandamiza kwa mikono yako kimya kimya bila maongezi ukimaliza nawa vema mikono yako na umshukuru Mungu kwa chakula alichokujalia. Inatosha
Teh sasa hivi hata sikuelewi ticha. Tutaonana muda wa darsaView attachment 382713
Huu mpangilio wa cutlery (vijiko, Uma, kisu) kuvitumia ni kutoka nje kwenda ndani. Vya upande wa kulia utaanza na soup spoon going inside, na kushoto utaanza na salad fork. Kama sijakosea Sky.
Eti yai kwa mkono, halafu la kukaanga, imekuwa chapati π
Afadhali na yai, sasa spaghetti je?, kisa mtu hataki uzungu.
Shida nyingine za kujitakia kwa kweli.
Aibu muhimu shoga angu, ila sio kigezo cha kumuacha mtu. Next time alikaneni nyumbani, pikilishaneni mkimaliza tuition ya kula kwa uma sijui kisu teh
Teh sasa hivi hata sikuelewi ticha. Tutaonana muda wa darsa