Table manners

Table manners

Hiyo ya chumvi mie kila siku na fail. Napenda sana chumvi so chakula kama sijapika mwenyewe I'll assume right away kuwa kina chumvi kidogo and I'll go straight for the salt first and foremost every time I sit down to eat.

Halafu hiyo red wine hapo juu inatamanisha. 😛
 
Haha, chumvi inanogesha chakula, lakini ni kheri uionje. Mimi nilishaweka principal ya kuridhika na chumvi ya mpishi.
 
  • Thanks
Reactions: kui
It's more for your future reference, with the advance of technology, the world is now just like a small village, you don't expect to be eating rice in Uswahilini only.

Wherever I eat rice, will heed to my African culture.

Technology transforms. Culture doesn't.

-Kaveli-
 
burger.jpg
 
Asante sana kwa hii picha, basi ukija kwangu nitakuandalia hivyo.
Eenh Asante Sana... Nitakufanyia surprises kufika... ila chumvi mie napenda iliyoivia kwenye supu au mboga si ya kuongeza...

Hiyo Picha iongezee juu hapo kwenye thread yako
 
Eenh Asante Sana... Nitakufanyia surprises kufika... ila chumvi mie napenda iliyoivia kwenye supu au mboga si ya kuongeza...

Hiyo Picha iongezee juu hapo kwenye thread yako
Ni picha nzuri sana kwa kweli, hapo kwenye chumvi naona tutashindana, kwa jinsi ya uelewa wangu wa moyo, figo na electrolites zinavyofanya kazi, chumvi yangu ni ndogo sana. Kopo la chumvi linakaa mpaka ninasahu bei.
 
Depends with the people you are dining with.

Umenikumbusha state dinners, mfano the queen of England kama ana wageni akimaliza kula na wageni nao wamalize? If she stop everybody has to stop?!, kama una njaa sana inakula kwako..lol
 
Umenikumbusha state dinners, mfano the queen of England kama ana wageni akimaliza kula na wageni nao wamalize? If she stop everybody has to stop?!, kama una njaa sana inakula kwako..lol
Hahaha, niliwahi kuona wanafanya maandalizi ya Christmas dinner, hizo glass, cutleries zilikuwa zinasuguliwaje.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kuna muda mie umma na kisu naona vinanizingua tu natamani kumla kuku kwa mkono nimtafune mifupa yooote sasa with kisu na umma aaah naona namdokoa dokoa tu sifaidi kabisa
Inategemea na waandaji lakini ni rahisi kuandaa kwa kutumia vipande vya kifuani vya kuku (chickn breast).
upload_2016-8-16_5-35-19.jpeg
 
Attachments

  • upload_2016-8-16_5-34-47.jpeg
    upload_2016-8-16_5-34-47.jpeg
    6.9 KB · Views: 40
Very well written. . Im certainly sending this to a colleague of mine on email. What he did on a company trip is beyond words.
 
Hapo kwenye umma na kisu ndipo patamu!!!

Haya madini wanawake wengi mjini hawayajui, kwanza kupika tu ni mziki sasa unatarajia haya atayajua??
Uma na kisu hapo ni mfano nakula nini ugali mrenda au wali maharage au kiugali changu na kasamaki kakavu.
 
Uma na kisu hapo ni mfano nakula nini ugali mrenda au wali maharage au kiugali changu na kasamaki kakavu.
Mkuu vyakula vyetu vya Kiafrica vinanoga kula na mkono, mlenda na umma havinogi. Hii ni akiba tu kwa siku ukiihitaji.
 
Heshima yako mwenye IQ kubwa.
Unaelewa ni kiasi gani cha information ubongo unaweza kuhold?
Ni yote uliyofundishwa shule una yaaply katika maisha yako yote ya kila siku?
Ulituletea utaratibu wa kula wa Watanzania 98% na sisi kukataa kuusoma?

Tatizo ni kwamba mnafanya maisha yawe magumu bila ya sababu, kuna haja gani Mtanzania kujua kula kwa uma na kisu wkt zaidi 98% ya Watanzania kwenye maisha yao ya kila hawahitaji umma na kisu kula?
Mtu mwenye akili hujadili mambo yenye faida na manufaa kwa jamii yake, mambo ambayo yataisaidia na kuiboresha jamii yake yaani mambo muhimu sasa kula na Uma na Kisu kuna umuhimu gani kwa Mtanzania? Isitoshe Wazungu ni watu waelewa sana na ndiyo maana ukimkaribisha kwako kama mnakula Ugali kwa mkono atakula kwa mkono na akikukaribisha kwake kama haujui kutumia uma na kisu siyo ishu kwa maana najua siyo utamaduni wako ...
 
Back
Top Bottom