Table manners - tusaidiane

Table manners - tusaidiane

Bolivar

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2010
Posts
229
Reaction score
103
Hivi ni chache nazovikumbuka tuongeze mingine

1. Tafuna ukiwa umefunga mdomo

2. Usiongee ukiwa na chakula mdomoni

3. Usipitishe mkono/mikono juu ya chakula cha mwingine.

4. Usiongeze chumvi au pilipili kabla hujaonja chakula

5. Unapokunywa supu kijiko cha supu hakitakiwi kuingizwa mdomoni, supu hunywewa toka kona ya kijiko.

===================================================================================
[h=2]Top Ten Table Manners[/h] [h=4]Keep these basic behaviors in mind as you eat:[/h]
EM_toptentable_WO.jpg
1. Chew with your mouth closed.
2. Avoid slurping, smacking, blowing your nose, or other gross noises. (If necessary, excuse yourself to take care of whatever it is you need to take care of.)
3. Don't use your utensils like a shovel or as if you've just stabbed the food you're about to eat.
4. Don't pick your teeth at the table.

5. Remember to use your napkin at all times.
6. Wait until you're done chewing to sip or swallow a drink. (The exception is if you're choking.)
7. Cut only one piece of food at a time.
8. Avoid slouching and don't place your elbows on the table while eating (though it is okay to prop your elbows on the table while conversing between courses.)
9. Instead of reaching across the table for something, ask for it to be passed to you.
10. Always say ‘excuse me' whenever you leave the table.
 
Kuna mtoto wa dada yangu ye kama anataka nyama anaweza dumbukiza hata mkono kwenye hotpot mbele ya wageni achukue. Nachukia hiyo tabia. . .
 
Hivi ni chache nazovikumbuka tuongeze mingine

1. Tafuna ukiwa umefunga mdomo

2. Usiongee ukiwa na chakula mdomoni

3. Usipitishe mkono/mikono juu ya chakula cha mwingine.

4. Usiongeze chumvi au pilipili kabla hujaonja chakula

5. Unapokunywa supu kijiko cha supu hakitakiwi kuingizwa mdomoni, supu hunywewa toka kona ya kijiko.

6. Sali kabla ya kuanza kula
 
Ningekushauri uanzie Bungeni hizo sheria za kula za Kistaarabu, Wabunge wengi hawazijui, ukikutana nao Dodoma kwenye nyama Choma unahitaji mwamvuli kuwasilikiliza wakiongea huku wakitafuna...

Kuna mtoto wa dada yangu ye kama anataka nyama anaweza dumbukiza hata mkono kwenye hotpot mbele ya wageni achukue. Nachukia hiyo tabia. . .

uwe unamuwekea nyama kabla hajafikiria kuchukua.....mtoto being mtoto hio.
 
hapa ni ngumu kwa watani wangu wasukuma wako ovyo sana mezani
 
7. Usiweke elbows zako mezani

8. Usipokee simu wakati wa kula, if possible iweke silent

9. Usiongelee masuala machafu mezani ...

10. Usilambe vidole

11. Kama wewe ni mwenyeji, subiri wageni na watoto wamalize kupakua

12. usipakue mlima wa chakula maana hutoweza kumaliza

13. Usisukutue maji mdomoni kabla hujameza

14. usichovye mkate kwenye chai unless una miaka minne
 
1. Ukitafuna chakula jitahidi usifanye ile - che che che che/cha cha cha cha

2. Ukiwa unakula na wenzio jitahidi kujizuia - ghaaaa (mbweo/mbwewe) sijui

3. Muda wa kula jitahidi usiwe mtu wa kuonge ongea - mvua tafadhali/mimate inaruka

4. Jitahidi kutokuenda haja ndogo/kubwa kati kati ya chakula yaani unaacha msosi katikati kisha unarudi tena

5. Usipende kuwaangalia wenzio usoni muda wa kula wewe macho yako elekeza kwenye chakula, sababu utaanza kumjaji mwenzio sahani yake imejaa, mara ameweka nyama nyingi nk
 
7. Usiweke elbows zako mezani

8. Usipokee simu wakati wa kula, if possible iweke silent

9. Usiongelee masuala machafu mezani ...

10. Usilambe vidole

11. Kama wewe ni mwenyeji, subiri wageni na watoto wamalize kupakua

12. usipakue mlima wa chakula maana hutoweza kumaliza

13. Usisukutue maji mdomoni kabla hujameza

14. usichovye mkate kwenye chai unless una miaka minne

15. Kama utakuwa ukitumia uma na kisu kwa wakati mmoja uma hushikwa na mkono wa kushoto na kisu kiwe mkono wa kulia
16. Angalau mda wa dak 25-30 upite katika kutofautisha aina za vyakula ambavyo huliwa/kunywa vikiwa aidha vya moto au baridi.
 
hapa ni ngumu kwa watani wangu wasukuma wako ovyo sana mezani

Hizi ni tamaduni tu tunazochukua kutoka kwa wenzetu. Kwa wasukuma hususani ambae amekulia kule kwenyewe taratibu ni tofauti kabisa. Kwa mfano, kunawa mikono lazima aanze mkubwa e.g baba, bb mdogo, kaka, na pengine maji ni hayohayo wa kwanza hadi wa mwisho, piga picha maji atakayonawa wa mwisho etc; kuchukua mboga lazima aanze mkubwa etc; etc. Kwa hata wewe ukienda usukumani na ukaleta hizo table manner zako tutakuona hufai kabisa.
 
table manners ugenini tu...watu wakiwa majumbani kwao ni kupakua chakula..kurudi kwenye TV...hakunaga cha manners...
 
Hivi ni chache nazovikumbuka tuongeze mingine

1. Tafuna ukiwa umefunga mdomo

2. Usiongee ukiwa na chakula mdomoni

3. Usipitishe mkono/mikono juu ya chakula cha mwingine.

4. Usiongeze chumvi au pilipili kabla hujaonja chakula

5. Unapokunywa supu kijiko cha supu hakitakiwi kuingizwa mdomoni, supu hunywewa toka kona ya kijiko.

===================================================================================

ahsante kwa kutkumbusha.
 
ukichokonoa meno mdomo. ukiwa wazi;ziba mdomo kwa mkono usikenue utawatia kinyaa wengine kuyaona meno yako.

ukipaliwa sitisha kula kwanza mpaka kipalio kipoe.

usilalamikie chakula mbele ya mpishi..mfano chakula hakijaiva, chakula kina chumvi, chakula kina mafuta mengi n.k kufanya hivi kutamkatisha tamaa mpishi pengine akashindwa kula..
 
Back
Top Bottom