badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
ukichokonoa meno mdomo. ukiwa wazi;ziba mdomo kwa mkono usikenue utawatia kinyaa wengine kuyaona meno yako.
ukipaliwa sitisha kula kwanza mpaka kipalio kipoe.
usilalamikie chakula mbele ya mpishi..mfano chakula hakijaiva, chakula kina chumvi, chakula kina mafuta mengi n.k kufanya hivi kutamkatisha tamaa mpishi pengine akashindwa kula..
yashanikuta,yani siku home kwa bahati mbaya nimeboronga kupika ,kuzidisha chumvi nk wanasemajee,hadi appetite inapotea yote