Table manners - tusaidiane

Table manners - tusaidiane

Kama unajua viatu vyako vinatoa harufu usivue wakati kula...!
 
usinyunyuke mezani mpaka wageni wako wamemaliza kula.
 
Daudi1 wangu hajambo sijui wewe Excel mzima?
LVU.gif
 
usilalamikie chakula mbele ya mpishi..mfano chakula hakijaiva, chakula kina chumvi, chakula kina mafuta mengi n.k kufanya hivi kutamkatisha tamaa mpishi pengine akashindwa kula..

kwahiyo akaliwe kimya tu na kesho tena arudie madudu?
 
Hapo kwenye kiganja kujaa msosi huwa panashangaza kabisa.

Ukila, usijipakaze chakula kwenye lips, na ikitokea, jifute mara moja. Hii inaweza kutia kinyaa kwa wanaokutazama.

Naona sheria mama ya kiafrika mnaisahau mkuu! inasema hivi " usicheze mbali unga robo"
 
15. Kama utakuwa ukitumia uma na kisu kwa wakati mmoja uma hushikwa na mkono wa kushoto na kisu kiwe mkono wa kulia
16. Angalau mda wa dak 25-30 upite katika kutofautisha aina za vyakula ambavyo huliwa/kunywa vikiwa aidha vya moto au baridi.

Kwa sisi left handed, hiyo kitu ya uma na kisu the opposite is true...!
 
Back
Top Bottom