Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,499
- 1,687
Hawa jamaa kwao hawaingii chooni na viatu popote pale kwakua wamezoea kwao choo ni kitu kikubwa sana kwenye nyumba akitaka kukodi au hoteli anaingia chooni kwanza na jikoni pa kulala yeye ni popote poa tu.
Wanatabia ya kuamini sana hata kama umemdanganya yeye anajua ni ukweli mfano unamiaka 35 ukimwambia una 22 anaamini kwakua kwao hawana utamaduni wa kusema uwongo.
Wanatabia ya uchoyo au wivu hasa wakiwa kwao lakini hapa wanaona kawaida.
Hawajui kusaidiana hata kama ni mtu na girlfriend wake wakinunua soda moja kila mmoja anachangia sh.350.
Ni watu wa ahadi sana niliwahi kufanya kazi hoteli wakikwambia chakula wanakula sa1 usiku hata kama wako 20 tena wamenda safari tofauti lakini ikifika sa1 kasoro unawakuta wapo juu ya meza wameshakaa wanakusubiri wewe, hapo kama ni waafrika mpaka wapigiane simu au wengine wanaweza wakawambia tupunguzieni pembeni.
Hawa jamaa huwa wananiacha hoi sana unapowatajia jina lako mara moja tu hawakuulizi tena unaitwa nani tena hata kama amekaa siku 2 tu pamoja na anaweza akasafiri akarudi baada ya miezi 6 atakwita jina lako wala hakosei
Lakini waafrika wanaweza kukuuliza jina tu kwa siku anashau mara 20.
Na kama unafanya kazi hotel bora kuwahudumia wazungu 100 kuliko Waafrika 5 ni kero sana kwa Muafrika hasa akipata vipesa vya kulipiwa kwa semina
Kwa kweli wana mengi ya kujifunza na mengine ya kuwaachia wenyewe sisi yale ya ushoga
Mzungu wa kumwamini ni alie kufa tu basi.
Huu utuwa wa fikra hauta kwisha kwako ndugu, hivi ili umsifie mzungu ni lazima umtoe kasoro mwaafrika mwenzako??
Umebeba mzigo mzito sana ndani ya ubongo wako kwa utukuza uzungu na kuubeza uafrika wa baba, mama,bibi na babu zako.
Sifa kuu ya binadamu ni kukosa ukamilifu ndiyo maana akaitwa binadamu wakubali waafrika wenzako japo kwa hayo mapungufu yao maana ukiyajua mapungufu ya wazungu utajutia hapa hiki ulichokiandika hapa.