Tabia za wazungu

Tabia za wazungu

Walio wengi hawaogi kupunguza bajeti ya maji, kupika nako si sana ili kupunguza gharama za umeme...

Pia tutifautishe uchoyo na uwajibikaji. Mzungu mnapoenda hotelini kila mtu mwenye uwezo wa kujilipia akajilipia ni moja Kati ya kufanya kila mtu agharimikie matumizi yake kitu ambacho huwezi kuita uchoyo. Ifike mahali Africa iwe hivi tusirudishane nyuma. Umeenda kusalimia bila taarifa hatokupikia au kukupokea na hii pia si uchoyo kwani bajeti yako haipo. Hata wewe muafrika utapika wakati unanung'unika kudhihirisha kwamba hujafurahia. So tofauti si kuwa au kutokuwa mchoyo ila ni mmoja kuwa mnafiki na mwingine kuwa mkweli.

Kama mtu anashida kwelikweli mzungu anasaidia Sana tu. Ila Kama unajiweza na si muhitaji usitegemee kusaidiwa na mzungu. Kwa kifupi ninapenda maisha yao yasiyo na maigizo kwa wengi wao
 
Mmh. Basi kwako siji hadi tuwe na miadi. Coz lazima nile ulichopika..!
Mengine yote nakubaliana na wewe..!
 
Hahahaha mnduu nimeongea general. Toka lini kula hetu mtu akachowea chakula?? Kuku atachinjwa hata Kama hukutoa taarifa. Ntakutafuta one day nkiwa town Kama afta few weeks niondoe uchoyo
 
Wa Irish wa wapi hao? Sikubaliani na wewe.

We mbona unaandika km huna kichwa?
Wa Irish huwa ni watu wa Bukoba?

All Irish came from Ireland.
Whether it is North ir South.
Dadadeki!
 
Hahahaha mnduu nimeongea general. Toka lini kula hetu mtu akachowea chakula?? Kuku atachinjwa hata Kama hukutoa taarifa. Ntakutafuta one day nkiwa town Kama afta few weeks niondoe uchoyo
Itabidi ufanye hivyo vinginevyo
hupati msamaha..! Alafu ujue unakesi ya kunira..!!
 
We mbona unaandika km huna kichwa?
Wa Irish huwa ni watu wa Bukoba?

All Irish came from Ireland.
Whether it is North ir South.
Dadadeki!

Kama ndiyo hao sikubaliani na wewe kama nilivyosema.
 
Naomba nichukue nafasi hii nikushukuru. Baada ya shukrani hizo ninaomba nikuulize sababu za kuipenda hii ID

Mh!! sioni kama ni vyema kumwaga mtama kwenye kuku wengi ni busara kama nitakujibia eneo tofauti na hili.
 
Nimeishi na hawa watu kwa muda mrefu sehemu tofauti tofauti hapa Tanzania.

1. Huwa hawachambi kwa maji wala kutumia lesso katika kufuta makamasi.

2. Asilimia kubwa huwa wanapenda wanaume marasta na wasiokuwa na na future na maisha ya mbele.

3. Wanapenda kuingia msalani peku kwenye hotel/hostel hata kama ni vya kushare.

3. Wengi wao huwa hawatumii tooth pick baada ya kula.

4. Wengi wao hawana dini,hasahasa vijana wa kisasa.

5. Wakiwa nchini huwa wanapenda kuvaa ovyo,na wanaweza kuvaa nguo za ndani bila kufua kwa muda mrefu tofauti na wakiwa nchi zao.

6. Asilimia kubwa wamechora tatoo,wanawake tatoo zao ni za vipepeo.

7 Hawawezi kucheza mziki zaidi ya kurusha rusha mikono na kutokwa na jasho.

Harufu za ngozi zao huwa zina harufu mbaya na ni moja kama ilivyo kwa wamasai. Na ni warahisi kuwachukua kimapenzi wakiwa wameshakunywa,hasa hasa wale mavolunteer na wanafunzi.

Na mnaweza mkaendelea na nyingine...
umejuaje kama hawachambi vizuri..au una kale kamchezo ka uliberali ndio umekagua
 
Mod futa huu uzi nipo na kazungukangu hapa kasuje jakabadili nia buree,ngoja nikapulize kwanza bibae wqkuu
 
Karibu sana ndugu yangu. Ila sehemu nyingi zilizokuwepo hizi Concentration Camp kama hiyo Sobibor zimeanza kuchoka kwa kuzeeka na kuchakaa. USA na Israel nafikiri wanaanza kuishiwa uwezo wa kuzitunza na Poland wala si washabiki wakubwa kwani walipinga hata kuziita Polish Conc. Camp kwa kudai hazikuwa zao ila za Hitler au German.

Sehemu nyingine zimekuwa ni msitu kwa sasa. Majengo mengi yanaanguka kwa kuzeeka. Wamebakiza machache wanayatunza ila mengi kwa sababu hakuna heating system kwenye majengo hayo hivyo kupambana na tofauti kubwa sana ya joto, yanaharibika mno. Wahi kama unataka ukute kitu.

Gas chambers discovered at Sobibor: Holocaust researchers find exact location of building at Nazi death camp- | Daily Mail Online
Unaishi Poland kaka? Natamani sana kufika Poland siku moja, lengo likiwa kutembelea makumbusho ya ilipokuwa kambi ya SOBIBOR.
 
Karibu sana ndugu yangu. Ila sehemu nyingi zilizokuwepo hizi Concentration Camp kama hiyo Sobibor zimeanza kuchoka kwa kuzeeka na kuchakaa. USA na Israel nafikiri wanaanza kuishiwa uwezo wa kuzitunza na Poland wala si washabiki wakubwa kwani walipinga hata kuziita Polish Conc. Camp kwa kudai hazikuwa zao ila za Hitler au German.

Sehemu nyingine zimekuwa ni msitu kwa sasa. Majengo mengi yanaanguka kwa kuzeeka. Wamebakiza machache wanayatunza ila mengi kwa sababu hakuna heating system kwenye majengo hayo hivyo kupambana na tofauti kubwa sana ya joto, yanaharibika mno. Wahi kama unataka ukute kitu.

Gas chambers discovered at Sobibor: Holocaust researchers find exact location of building at Nazi death camp- | Daily Mail Online

Asante sana kaka kwa taarifa, nitakuja Poland, nitaenda Sobibor
 
Back
Top Bottom