Mzungu wa kumwamini ni alie kufa tu basi.
Huu utuwa wa fikra hauta kwisha kwako ndugu, hivi ili umsifie mzungu ni lazima umtoe kasoro mwaafrika mwenzako??
Umebeba mzigo mzito sana ndani ya ubongo wako kwa utukuza uzungu na kuubeza uafrika wa baba, mama,bibi na babu zako.
Sifa kuu ya binadamu ni kukosa ukamilifu ndiyo maana akaitwa binadamu wakubali waafrika wenzako japo kwa hayo mapungufu yao maana ukiyajua mapungufu ya wazungu utajutia hapa hiki ulichokiandika hapa.
Le Mutuz.......Hapa utakuta mtu ana miaka zaidi ya 50 anaishi nyumba ya baba yake ,huku akiponda raha kwa kutumia umaarufu wa wazazi wake.
Najua wazungu wana sifa mbovu sana lakini na sisi waafrika wanaoweza kujirekebisha tujhrekebishe tupunguzeni ulimbukeni kwa muafrika daima akipata ------ hulia mbwata, hahahah
Sifa kuu ya binadamu ni kukosa ukamilifu ndiyo maana akaitwa binadamu wakubali waafrika wenzako japo kwa hayo mapungufu yao maana ukiyajua mapungufu ya wazungu utajutia hapa hiki ulichokiandika hapa.
Mzungu wa kumwamini ni alie kufa tu basi.
Huu utuwa wa fikra hauta kwisha kwako ndugu, hivi ili umsifie mzungu ni lazima umtoe kasoro mwaafrika mwenzako??
Umebeba mzigo mzito sana ndani ya ubongo wako kwa utukuza uzungu na kuubeza uafrika wa baba, mama,bibi na babu zako.
Sifa kuu ya binadamu ni kukosa ukamilifu ndiyo maana akaitwa binadamu wakubali waafrika wenzako japo kwa hayo mapungufu yao maana ukiyajua mapungufu ya wazungu utajutia hapa hiki ulichokiandika hapa.
So.....the point is.......
Mbona wazungu ni binadamu na huwakubali?
Nimeishi na hawa watu kwa muda mrefu sehemu tofauti tofauti hapa Tanzania.
1. Huwa hawachambi kwa maji wala kutumia lesso katika kufuta makamasi.
2. Asilimia kubwa huwa wanapenda wanaume marasta na wasiokuwa na na future na maisha ya mbele.
3. Wanapenda kuingia msalani peku kwenye hotel/hostel hata kama ni vya kushare.
3. Wengi wao huwa hawatumii tooth pick baada ya kula.
4. Wengi wao hawana dini,hasahasa vijana wa kisasa.
5. Wakiwa nchini huwa wanapenda kuvaa ovyo,na wanaweza kuvaa nguo za ndani bila kufua kwa muda mrefu tofauti na wakiwa nchi zao.
6. Asilimia kubwa wamechora tatoo,wanawake tatoo zao ni za vipepeo.
7 Hawawezi kucheza mziki zaidi ya kurusha rusha mikono na kutokwa na jasho.
Harufu za ngozi zao huwa zina harufu mbaya na ni moja kama ilivyo kwa wamasai. Na ni warahisi kuwachukua kimapenzi wakiwa wameshakunywa,hasa hasa wale mavolunteer na wanafunzi.
Na mnaweza mkaendelea na nyingine...
Utakuwa umekaa sana West Europe.
Njoo siku moja Poland, utabadilisha usemi wako kuhusu uchoyo.
Kila mtu kula vyake, nakubaliana sana na hilo. Ila kama huna, atakusaidia sana. Kuna dada hapa huwa akienda club, anabeba weusi kibao na wakianza kununua, hununua watakacho na yeye mwishoni hutoa kadi yake na kulipa. Sema uzuri ni kuwa na wao huwa wanamfanyia manunuzi mara moja moja na hivyo kundi zima wanapendana sana.
Nimejifunza kitu kimoja kuwa, masikini wengi wana roho mbaya na hasa kama wametajirikia ukubwani. Wengi waliozaliwa kwenye familia tajiri na kukulia kwenye utajiri, hawajali sana fedha kama ameshakupenda (love or like).
Pia vijana wengi, hata kama wazazi ni matajiri, hataki fedha yao. Atachakalika hadi awe na ya kwake. Unaweza kushangaa kijana anapanda mabasi/metro ya mjini wakati kwao wana duka kubwa sana la kuuza magari. Watoto wanafundwa kujitegemea haraka sana. Ila pamoja na kugoma misaada ya wazazi, huwa wanapewa vizawadi mara wakimaliza shule, wakianza kazi au wakiowa na hata mara nyingine wakipata driving licence. Zawadi hizo huwa mara nyingi magari na nyumba za kwenye magorofa. Ila bado hela ya mafuta hatachukua kwa baba.
So.....the point is.......
The point is "wapenzi wenu mnaowashobokea ni wachafu" kuliko hata waafrika wanaotuona eti ni wachafu!!
Kwa uelewa wangu wazungu wote sio sawa wanatofautiana kama nchi zetu lakini wana uelewa zaidi yetu na hiyo inatokana na malezi ya tangu utotoni kwa mfano mtoto asiongee na strangers au kupokea zawadi yoyote na pia kuingiliana kwa maisha yaani kila mtu kivyake. Hao ni British lakini wanapenda sana gossip (udaku) kuhusu kunuka kwao hilo kila binadamu wana harufu zao kutokana na vyakula vyao, hata mhindi utasema ana harufu lakini nae anakushangaa wewe, wana tabia zingine kama niseme labda uchoyo maana hata mkiingia hotel kila MTU alipe chake hakuna kulipiana, hao ni western Europeans tofauti na eastern ambao wao wanaishi kama sisi kwa kusaidiana na kutembeleana hata kama ni rafiki tu, hiyo tabia pia wanayo wataliano yaani kuishi pia na wazazi wao hata wakiwa wakubwa na kazi zao bado wanawajali wazazi, wazungu kwa tabia hizo alizozitaja siziafiki nyingi kwani wengi wanaokuja huku kama volunteers ni waliomaliza shule na kuja kujionea maisha au kutoa msaada wa aina yoyote kwa hiyo wanakuwa na matumizi ya kukidhi mda wapo hapa na kuishi kama sisi hawawezi kuishi hotel kubwa, wa Irish pia ni wazuri wanakuja kukugongea na kukuomba maziwa au chochote kile, watakusalimia na msaada wanao, naona alieleta mada ameona baadhi ya wazungu aidha anafanya kazi baa au hotel Porter maana ameona maisha yao ya kunya tu na sio maisha kwa ujumla, hebu angalia anaposema wanaingia toilet bila viatu lakini haoni ndugu yake alieingia chooni na viatu halafu baada ya kurudi sitting room akapandisha miguu na viatu juu ya sofa akiona ni uzungu. Maisha ni malezi sio kuiga nani amefanya nini

Ndio maana umewaongelea sana mtoto wa kike wewe sasa ulikosa visa yao ukaamua kuwatukana niambie we lini ulianza kuchamba au unachambishwaWanakugonga nini,mbona umekuja kwa jazba? Mimi nimesoma nao na kuishi nao na kula bata nao,ndio maana nikawaongelea. Wewe uliyeolewa na kutekwa na hao wachafu unafanya nini?