Siku moja nilikuwa zangu Hotel Traverntine pale Magomeni Mikumi basi likazuka zogo kwenye shoo ya Jahazi Modern Taarabu kisa bibie kavaa ya mwenzake na kutoka nayo wakati mwenye yuko bafuni anaoga.Namba 8 kali aisee, na haya maradhi ya sasa kuna watu wa hivyo??
Siku moja nilikuwa zangu Hotel Traverntine pale Magomeni Mikumi basi likazuka zogo kwenye shoo ya Jahazi Modern Taarabu kisa bibie kavaa ya mwenzake na kutoka nayo wakati mwenye yuko bafuni anaoga.
Unashangaa nguo za ndani,
wakati kondom zinaingia kuna mkoa mmoja hapa tz
ilikuwa mtu akishanunua akaitumia anaifua na kuianika
then hata jirani anaweza kuja kuiazima na kwenda kuitumia
baada ya kutumia anaiosha na kuirudisha na mzunguko unaendelea
kama kawaida.
Miye mtu wa Pwani ati. zama zile tulikuwa nao kina Farouk na Chakachaka zao kabla hawajapigwa marufuku!!
Halafu mtendaji huwa ametulia tuli kama vile hakuna cha ajabu anachofanya!!
Hahaha umenikumbusha walikuwa wanasema NIAZIME KIFANYIO CHAKO