Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,309
- 4,017
Katika jamii tofauti unakuta mtoto akizaliwa anakuwa katika changamoto ya kulia sana mara kwa mara visivyo kawaida na unakuta hana tatizo lolote la kiafya.
Kinachofatia unakuta mzazi anawashirikisha wazee wa ukoo na wale wazee wanatoa ushauri kuhusu majina. Mara nyingi unakuta mzazi amewapa watoto wengine majina ya forefathers wa ukoo alafu unakuta kuna forefather ambae labda bado mzazi hajaenzi jina lake kwa kumpa mtoto hata mmoja.
Kwa hio wazee wanashauri apewe jina la forefather huyo kinachofatia kwa majaabu mtoto anatulia na kuacha kulia. Mambo mengine yanayofanyika sijui kwa kweli ila hii ni true story kabisa.
So what is real? Je roho za wafu huwa zinabaki na kuishi katika uliwengu wa kiroho na zikitazama safari yetu za maisha.
Au ni lucifer anajifanya kuwa katika nafsi hio ili atuingie kirahisi huku tukidhania ni roho za mababu zetu?