Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,319
Hahaha nimekuelewa swaiba.Hahahaaa. Duuh Swahiba.
Mie hiyo namba moja aisee sema sijawahi vaa wigi hivyo wigi halipo hapo na pia nilianza maisha nikiwa mbali na wazazi, mie nilikuwa nanunua nguo tu Swahiba.
Ila Swahiba umeniweza lol. Sababu nimesoma mara tatu tatu ndio nikaona wapi ninapodondokea mimi..
Sent from my Solar mini using JamiiForums mobile app