Tabia za wanawake wa Kilimanjaro

2. MARANGU
a. Wanapenda elimu sana
b. Ni wastaarabu sana
c. Wanapenda usafi
d. Wana upendo
e. Wanajali sana ndoa
f. Kujisikia
g. Wabaguzi -hawapendi kuchangamana na jamii zingine za kichaga hata wanapokuwa nje ya Kilimanjaro
Ajhaaaa
 
Sijaona wa Uru
 
Umesahau kuongeza kuwa, wanawake wa Kipara ndio HQ ya ushirikina kwenye huu mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…