Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
- Thread starter
-
- #121
Duu mbona shem anakoma kama upo kundi namba 3Hapana
Sina kithembe
Yani bora namba 2 kidooogo inaelekea
Ila namba 3 sio kweli kabisa
Hapana sio Mimi
Asantee sana mkuu
Kwangu mie siko hivyo
Sio mmoja wao ndio maana nimepinga [emoji4]
Mkuu umewaza nini?
Teh namba yako ni ipi?
Nimefurahi mkuuUnanicheka
Nimefurahi mkuu
Sawa mpenzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niite mpenzi sio mkuu
SISIEMTwaweza
Hayo ndio maneno...Sawa mpenzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanamke unatakiwa uwe na maneno matam ukiniita unarembua na machoSawa mpenzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo zile nyingine unaunga mkono?Kwa mtazamo wangu
2&3 sio kweli
Aiseeee, humu ndani kila mtu mtafiti [emoji30][emoji30][emoji30]Ndio hivyo kutokana na research yake hahahaha shem pressure itakuuwa ukifwata mada za hapa
Aiseeee, humu ndani kila mtu mtafiti [emoji30][emoji30][emoji30]
Sijui kwasababu sinazoKwahiyo zile nyingine unaunga mkono?
Ila unaweza kulinganisha na sample ya watu unaowajua.Sijui kwasababu sinazo
Kwa kweli acha nibaki na baby wangu bega kwa bega, ila lisemwalo lipo[emoji23] [emoji23] [emoji23]sana shem inabidi uwe mwangalifu vinginevyo unaweza leta tafrani
Jirani[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwa kweli acha nibaki na baby wangu bega kwa bega, ila lisemwalo lipo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] Utakuwa unaendana na Hizo body structure...Kwa mtazamo wangu
2&3 sio kweli