manka81
Member
- Oct 13, 2012
- 69
- 34
tabia za wanandoa kugombana bila sababu hata sizielewi kwani inakuwaje mnaoana bila kujuana tabia,mana kwa elimu yangu ndogo siku hizi watu hawachaguliwi wachumba,sasa unakuta watu wamefunga ndoa tu hata miezi 6 yandoa haijaisha vurugu mtindo mmoja huwa najiuliza inatokea vipi? hawakupendana au
Wanatuogopesha wengine kuingia humo
Wadau nielimisheni kuna nini humo?
Wanatuogopesha wengine kuingia humo
Wadau nielimisheni kuna nini humo?