Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
Miss Natafuta umeshapata Mwalimu wa kukufundisha kuendesha Gari?sina hata mwaka mmoja dar sijui umenirate vipi anyway!
Miss Natafuta umeshapata Mwalimu wa kukufundisha kuendesha Gari?sina hata mwaka mmoja dar sijui umenirate vipi anyway!
ndio siku hizi namsogeza boss kiaina si unajua mimi secretary?Miss Natafuta umeshapata Mwalimu wa kukufundisha kuendesha Gari?
Wivu utaniuandio siku hizi namsogeza boss kiaina si unajua mimi secretary?
Mkuu ukipewa jibu fanya kuntag.Baada ya kuzijuwa hizo tabia nini kitafuata?
Aiseee! Imbombo jilipo , nguganile fijo lakiniHappy Fathers' day
ila tapigwa mawe NazjazGENTAMYCINE - u mach noo mwingi. Kujiona yeye bora kuliko wengine na mashauzi ya hapa na pale.
FaizaFoxy- udini, u CCM na ujuaji mwingi.
mshana jr- hamble, intelligent and gentleman
BAK, - very calm and wise
Sky Eclat- wise and intelligent, good listener
HR 666- utoto mwingi, na kusumbua watu PM
Miss Natafuta- mjanja sana, Mtoto wa mjini
lara 1- Bonge LA story teller
Hapana ndio kwanza zinashine@wasioipendaserikaliyaawamuhii - wamejaa maneno machafu na hasira mbaya.
Naamini hata nyuso zao zinazeeka haraka
Usijali hakuna dhawadiHeri mimi sijatajwa
@wasioipendaserikaliyaawamuhii - wamejaa maneno machafu na hasira mbaya.
Naamini hata nyuso zao zinazeeka haraka
Hamna
Hamna mwenye GATS za kukupiga mawe.
Mwenye hizo GATS akampige Andrew Chenge
GutsHamna
Hamna mwenye GATS za kukupiga mawe.
Mwenye hizo GATS akampige Andrew Chenge