Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,557
- 2,692
wanafunz wa vyuo au umri tu ndio sababu?Aisee hawa watoto wa chuo tabia zao zinafafana nchi nzima ....
Tabia zao ni common kwa wote.
1. Wanatembea wakiwa wamevaa earphone mda wote.
2. Wakizingumza lazima wachanganye kiingereza na kiswahili, hadi wanaume kuna maneno ya kipuuzi utakuta wanayatumia kama , "oooh my Gash".
3.Kuzungumza kwa kupiga kelele, yaani ukiwa nao shehemu za Public utachoka , usiombe iwe kwenye daladala, na story wanazopiga ni za realationship na matukio Birthday.
4. Ole wako usijikute umepanga nao nyumba moja, nyumba ilichukuliwa na mtu mmoja ila utashangaa kijiji kinahamia hapo!..Ukumbi wa birthday hapo hapo !Disco na kila kitu hapo hapo .
5. Wakitembea na jinsia mbili tofauti utachoka, mara washikane viuno , mikono , wapigane mabusu yanii ni karahaa tupu.
Mambo ni mengi kwa hawa watoto..sijui wenzangu unapata karaha hiyo hiyo.