Tabia za maEX wangu

Madonna ,maria carey,jlo, wanadate watoto usiogope wako bado hajazaliwa,
 

Thank God "that thing " is elastic.. kha!
8 men ain't a small figure... + hit n run aka one night stand, namba itakuwa two digit figure.
 
angalia, namba 9 na 10 wanaweza kuwa mashetani, kwani wanadamu umewashindwa, jaribu majini.
 
nakushauri uumbe mwanaume wa kwako
 
Umekwenda mileage shosti!
Hongera sana manake una uzoefu wa miaka laki 8
 
watu8 inawezekana changamsha jukwaa ila uhalisia ukawa huo ameacha wote nane hao na hawa ni wale waliodumu ila wale ambao hawajadumu sijui watakuwa wangapi unaweza kuta anafunga Dar Express nzima
 
Last edited by a moderator:
DUNIA yako PAPUCHI yako..... Chagua umtakaye!!!!!!!!!!!
 
watu8 inawezekana changamsha jukwaa ila uhalisia ukawa huo ameacha wote nane hao na hawa ni wale waliodumu ila wale ambao hawajadumu sijui watakuwa wangapi unaweza kuta anafunga Dar Express nzima

hahaha aiseeh!
 
Last edited by a moderator:
watu8 inawezekana changamsha jukwaa ila uhalisia ukawa huo ameacha wote nane hao na hawa ni wale waliodumu ila wale ambao hawajadumu sijui watakuwa wangapi unaweza kuta anafunga Dar Express nzima
 
Last edited by a moderator:
Jenu ana visa sana...threads zake zote zimekaa kichokozi chokozi...
Mi nimeipenda hiyo konklusheni yake tu, mwenye macho hapo haambiwi tazama...inamaanisha she's available n ready to mingle.

watu8 inawezekana changamsha jukwaa ila uhalisia ukawa huo ameacha wote nane hao na hawa ni wale waliodumu ila wale ambao hawajadumu sijui watakuwa wangapi unaweza kuta anafunga Dar Express nzima
 
Last edited by a moderator:
no. 4 ndo aliye kuongezea nuksi.... hope hujakata tamaa....
 

Historia yako ya maEX ina msaada wowote kwa jamii hii inayokuzunguka?
Au unaeleimisha wananchi nao waelezee uzoefu wao na maEx wao?
Natamani kujifunza zaidi toka kwako. Inawezekana kuna kitu kinanipita katika shule hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…