Tabia za madereva wa aina mbali mbali za magari

Mkuu umechambua vizur sana ila umesahau toyota prado TX ile ya 1999 ambayo ina tabia ya kuchomoka matairi ambayo kwa mimi uchambuz wangu nimegundua ni za akina mama wajane walizoachiwa kwenye urithi! Especially kula kwetu kaskazini
 
Hilo la kuchomoka matairi ya mbele hasa kulia nimeshashuhudia kama mara nne kwa macho yangu kwenye hizo TX
 
MTOA MADA NAOMBA NIKUSAHIHISHE KWENYE MADA NAMBA(11) HYUNDAI SANTA FE HAZITENGENEZWI INDIA HIZO GARI NI KUTOKA KOREA PAMOJA NA KIA
 
Kuna major branch factory ipo India (Hyundai motors India)
 
7C15E135-B0E6-4498-8B4D-0F7CDDD97474-2379-000003DA73A43691.jpeg
gari ya safari ya uhakika surf kata kona kali na speed 120 haikutupi usijaribu kukatakona speed 120 na prado utaanguka toyota surf ni imara na niya starehe na safari sio rahisi ikulaze njiani eti ina tatizo body lake imara ulaji mafuta mzuri
 
Kwenye harrier amepatia sana. Angeongeza tu kwamba kina mama hawa huwa walizaliwa shamba na wanakaushamba ndani ya damu
 
Hahahahah..., ngoja tufanyie utafiti hilo suala laa ushamba kwanza.., hahahah
 
Back
Top Bottom