Aman iwe nanyi wakuu Leo niko safari froma mwanza to Dar lakin niko na mnyama mkali sana mzee wa kuchanga mbuga ranger ford Ebhana ee Nitakuwa nawapa update ya safari na njian kwa ujmla Safari nitaanza saa kumi na mbili jion kwa sababu naogopa matrafik na fain na jum zisizo na maana Ukisia...
Wamiliki wa hizi gari msinifikirie vibaya ila huo ndio Ukweli wangu Nina Ndoto za kumiliki gari lakini sio Vitz, Passo wala IST, Ni kweli hizi gari zina matumizi madogo ya mafuta plus gharama ndogo ya Service lakini bado sio gari ambayo naweza toka kwenda kuinunua na kumiliki, Nina Sababu...
Kuna huu mjadala hapa si unajua tena story za vijiweni watu tukishacheza bao tumefungana tumechoka kahawa hazishuki wala kashata hazipandi tena ni mwendo wa ubishi ubishi tuuu. Kuna mjadala wa hawa madereva wawili waendeshao mabasi ya mikoani vs hawa wa mwendokasi kwamba wote ni sawa ki uwezo...
Ni kama logic ya kipuuzi lakini ukweli ndo huo! Wenye Gari zinazofanana wawapo barabarani hata akili zao hushabihiana na kufanana halafu Mara nyingi wao kwa wao wanapendana sana! Tazama kwa makini wanaomiliki harrier tako la nyani hawapendi kukaa nyuma, atapambana hadi akupite ndo furaha take...
Wakuu, nimezoea sana kutembea safari ndefu haswa Dar-Kahama-Geita na Dar-Mwanza, mara chache Dar-Bukoba. Mara nyingi napenda kusafiri jioni au asubuhi sana. Hizo route nilizozitaja hapo juu hazina Magari madogo mengi usiku, zaidi ya malori na mafuso. So huwa hatujui mambo ya ligi kabisa. Kuna...
Mimi kuna baadhi ya magari nikiyaona najua kabisa hili ni dume,jike,limezeeka au bado kasichana tena bikra kabisa!! Wazungu hapa wamechemka kabisaaa....kwa Mfano Ile Harrier tako la Nyani,inaonekana kabisa ni mdada wa miaka 35 na kuendelea halafu Chibonge...Ahsanteni.Jumapili njema. Mods: Naomba...
Siku ya tatu hii watu tunapata shida pakupita na magari yetu. Dereva mmoja katika hali ya kujitanua kwa mchepuko wake mtaani kaja na Lori lenye Trailer limekwama huku. Sababu ya kuleta huku haikuwepo hata kidogo. kutaka sifa tu za kijinga kwa demu wake.trailer na gari lenyewe limetitia kwenye...
Salam wana jukwaa. Kwa maoni yetu zifuatazo ni sababu za kwa nini walinda amani wetu hupendelea zaidi gari za aina flani kuliko aina nyingine kwa gari zote za biashara na binafsi. 1. Toyota IST, Toyota Vitz, Toyota Starlet, Run X, Allex na Raum na Subaru Impreza. Hizi hupendelewa zaidi kwa...
Habarini wana jumuiya kubwa ya JamiiForums, Ni wakati sasa wa kuwa na mada yetu maalum kwa kaliba hii kubwa na pana yenye dhamana adhimu ya kuhakikisha tunasafiri na kufika tuendako salama iwe: Makazini Kwenye starehe Kwenye dharura Kutembeleana nknk Ni kaliba hii adhimu pia yenye dhamana...
Kamanda Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema baadhi ya madereva wanavunja sheria za usalama barabarani kwa sababu ya namba za Serikali kama STK, STL, SM, PT na kulindwa na viongozi wanaowaendesha. Amesema baadhi ya madereva hawafuati taaluma zao na wanajiamini kuzidi kiwango huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.