Hizo tabia mwenyewe czipendi,hasa hyonumber mbili jaman,yanî mtu daladala nzîma anasikika yeye
ampaka anashuka ktk dalaadala umejua mambo meng kuhusu yeye
W
Usiombe awe anaongea na simu halafu anashindwa kusikizana na huyo aongeaye naye...
....Wanaojisaidia vyoo vya umma na kukifanya kinyesi kuwa wino wa kuandikia ukutani!
yuck. nahisi kichefuchefu, is this true??Hii niliiona sana shule zetu za Boarding haswa kwa wanafunzi waliokuwa wakihitimu
Hii niliiona sana shule zetu za Boarding haswa kwa wanafunzi waliokuwa wakihitimu
Ongezea hizi;
'
Wanaopenga kamasi hovyo tena bila vitambaa
'
Wanaojisaidia vyoo vya umma na kukifanya kinyesi kuwa wino wa kuandikia ukutani!
kuchokonoa chokonoa pua mbele ya watu..af akimaliza anakupa mkono huo huo msalimiane au muagane
Kuna wale wenye tabia ya kuweka music/radio loudspeaker alafu anaingia kwenye gari ama mkusanyiko wa watu, very comfortable, sielewi huwa wana maana gani, kujulisha watu kuwa wanamiliki simu zenye memory card/radio ama hawafahamu matumizi ya hearphones.:help::help::help::bored::bored::bored:
ivi watu8 hapo kwenye iyo bodaboda mko nane? just curious.Very true...waliokuwa wakifanya hivyo ni ile kuonesha retaliation baada ya maisha magumu na pengine mateso ya shule