Aisee jf Kuna Mambo nimecheka hatar eti wanawake wa kinyakyusa wanajamba sana!!!!Waha, Wasukuma, Wamasai na Wanyakyusa haya makabila ni wasumbufu sana safarini.
Waha ubishi ubishi, Wasukuma kula kula, Wamasai mafuta yao wanatopakaa na kuongea na simu kwa sauti, Wanawake wa kinyakyusa wanajamba sana akigeuka kajamba.
..umesahau sambusa mkuuKaranga, Mayai, Ndizi, Parachichi, Chips Halafu Coca Cola Baridi
Baada Ya Nusu Saa Ndiyo Bus Halikaliki
Unahitaji deep counselingNilikuwa nacho utotoni hadi sasa,sidhani kama kuna jambo linaweza kunibadili
Inakuwa kama mashindanoIla Huwa wana roho nzuri ya kugawa vitu vyao, Kuna mmoja alinikaribisha ndizi za kukaangwa na kuku af asubuhi tu, kila centre kubwa tukifika ananunua kitu cha kutafuna iwe mayai, matunda hadi mahindi.
Tulipofika kituo cha kupata lunch naye akashuka kula ubwabwa na kuku. Nilishangaa kimoyomoyo ila sikumind
Jamaa anasafiri au anahama huyo!Mzee umetisha
Ugoro eenye masiwa mgando na samli!😀Nimepanda gar na masai mmoja alipiga chafya moja ushuzi ukasome [emoji23][emoji23] ilibidi watu wafungue vioo kwanza
Akikujibu nitagMIC vipi una rap nayo au?
[emoji23]Msiwasahau na ndugu zetu wasambaa wana kelele sana safarini utaskia akisema kwa sauti “we deeva ongeza kasi”
Kwanini ahangaike kote huko dawa ni kumbebesha kiumbe tumboni huyo...Haha noma sana...
Angalia ndugu/ rafiki aliyepata mtoto hivi karibuni ukachukue experience hata kwa weekend moja. Ukisubiri wako utachelewa kujua na kuzoea vingi
hahaha au sio wakaka hawana tabuBila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja
Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari,yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi,kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake
Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana,kila muda dada hivi dada vile mara kanilishe vitu kanavyopewa na mama yake
Sio kwa ubaya,lakini ni usumbufu...kama una watoto wadogo wawili jitahidi kuweka seat mbili aseee
Siku hizi namuagiza anayenikatia ticket ahakikishe nakaa na mkaka
Na wanaotafuna karanga wanakera sanaUmesahau wale wanaonunua mayai, wanayamenya alafu wanakula.
Ile shombo ya mayai ni noma sana.
Ikibidi, punguzeni tabia ya kula kula hovyo.
Hukuchukua contact....Siku 1 nilipanda bus nikawa nimekaa siti 1 na dem mkali balaa, akawa anavaa chen yake inamshinda kufunga akaniomba nimsaidie kiukweli niliona raha sana ile safari sikutamani tufike.
KERO:
Unavua viatu kwenye bus unawakera watu buti inatoa harufu..
Siku 1 nilipanda gar na dada mmoja kakata ticket moja tu alaf anawatt wawil ikabid amuombe sister mmoja nilie kaa nae ambebe mtt, kero ikawa ananunua vyakula ovyo dirishan anawapa watt , dogo akatapika matapish yakanipata daah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushawahi kukaa na mzee much know kila kitu anajua yeye hata mada inaongelewa iko siti tano nyuma anataka achangie yeye.