Tabia za kike kwa wanaume

Tabia za kike kwa wanaume

Nifichie aibu hii my
Wewe ni mmama
Mwanaume kutumia imoj hizi huu nao ni umama tu vile vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mmama
🤣🤣

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mmama
Mwanaume kufanya scrub na facial huo ni umama

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mmama
Mwanaume kuangalia kipindi cha shilawadu mpaka saa sita usiku huo ni umama

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mmama

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
Mkuu hiyo #3 inaonyesha unaishi chini ya bahari maana huku kwetu Kombe la Dunia limemalizika michuano yake.
Labda niseme tu kama ndipo ulipofikia hapo wewe ni Chakula yao haijalishi wewe ni jinsia gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmama Wewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmamaWewe ni mmama

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya

Mwanaume kujiita "boy" huo ni zaidi ya umama
 
3
tapatalk_1534782314560.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
1, mwanaume kuoga haraka haraka ili uwahi kuangalia igizo, huo ni UMAMA..

2, mwanaume kupiga picha umeng'ata Lips na Unapiga na Camera Beauty Plus huo ni UMAMA..

3, Mwanaume kuangalia tamthilia na Jamai Raja na Maigizo kwenye chanel ya sinema zetu wakati mechi za Ligi kuu England Premier League zinaendelea, pia nawe ni MMAMAA…

4, Mwanaume kuandika 'Jomon' badala ya Jamani, kuandika 'Pw' badala ya Poa, kuandika 'Thatha' badala ya Sasa, kumwandikia mwanaume mwenzio 'Mambo my' Huu ni UDADA, tena UDADA wa CHUO..
.
5, Mwanaume kunywa soda au Juice na kubakisha, kununua chakula halafu unakibakisha, kubagua bagua chakula na kujamba hovyo hovyo baada ya kushiba, huo nao ni UMAMAA..
.
6, Mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzio anapata faida gani kuangalia Mpira, pia nawe ni MMAMA…
.




Muda wa kulala bado saaanaa

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya

Waambie hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom