greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,764
- 3,229
Hivi karibuni tumetoka ona maandamano ya wananchi huko kwa majirani zetu...maandamano hayo kwa kiasi kikubwa yaliasisiwa na Kundi la vijana waliozaliwa kuanzia miaka ya 2000 alimaarufu kama "Generation Z".
Hii imeonesha kuwa Generation Z ya Kenya si
Je, Generation Z ya hapa Tanzania ina sifa zipi...
Taja hata 2, Weka hata na picha....
Hii imeonesha kuwa Generation Z ya Kenya si
- waoga katika kuhoji na
- kukosoa makosa ya serikali....
Je, Generation Z ya hapa Tanzania ina sifa zipi...
Taja hata 2, Weka hata na picha....