Tabia za ajabu na mbovu za Watu wa Bara

Status
Not open for further replies.
Haya nitakayo yasema kaa mwenyewe ufikiri uone kama ni sawa ama laa

1. Vigodoro visivyo na staha watu wanacheze uchi wanavua nguo mbele ya watoto na watu wanashangilia

2. Singeli, watu wanaimba kwa kutukana wanacheza na mapanga vurugu tupu

3. Khanga moja na vibao kata, mtu anavua nguo anacheze na khanga bila chupi khanga imeloa laana hii nilipita sehenu nikaona huko bara kwenye baa unatoa elf 5 unapewa jagi anakuja mwanamke anakukalia huku unamwagia sehemu yoyote uitakayo kwa hyo elfu 5 kama sio laana ni nini

Uvaaji usio na staha, makucha bandia sijui manyusi uvaaji vimini masuruali na ukahaba

Watu wa bara mbadilike na huu muingiliano ndo mnaharibu na watu wa Zanzibar ningekuwa na uwezo nyie kabla hamjaja huku Zanzibar mngekuwa mnapimwa kwanza adabu

Sasa kuna mashoga wengi mpaka mkuu wenu wa mkoa kaamua aanze kamata kamata maana mmezidi mbadilike naiman MUNGU atawaongoza mtabadilika

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Kakee nsalama kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali mtoa mada naomba jina la hiyo baa, leo mapema nitakua siti ya mbele jagi nitatoka nalo mwenyewe nyumbani.

Sent from my SM-N920F using Tapatalk
baa?? huyuyuko sokoni anachangua giligilani kwa niaba ya mkewe ambaye kabaki nyumbani.
 
Haya nitakayo yasema kaa mwenyewe ufikiri uone kama ni sawa ama laa

1. Vigodoro visivyo na staha watu wanacheze uchi wanavua nguo mbele ya watoto na watu wanashangilia

2. Singeli, watu wanaimba kwa kutukana wanacheza na mapanga vurugu tupu

3. Khanga moja na vibao kata, mtu anavua nguo anacheze na khanga bila chupi khanga imeloa laana hii nilipita sehenu nikaona huko bara kwenye baa unatoa elf 5 unapewa jagi anakuja mwanamke anakukalia huku unamwagia sehemu yoyote uitakayo kwa hyo elfu 5 kama sio laana ni nini

Uvaaji usio na staha, makucha bandia sijui manyusi uvaaji vimini masuruali na ukahaba

Watu wa bara mbadilike na huu muingiliano ndo mnaharibu na watu wa Zanzibar ningekuwa na uwezo nyie kabla hamjaja huku Zanzibar mngekuwa mnapimwa kwanza adabu

Sasa kuna mashoga wengi mpaka mkuu wenu wa mkoa kaamua aanze kamata kamata maana mmezidi mbadilike naiman MUNGU atawaongoza mtabadilika

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Vipi kuhusu msunsumia kule Unguja?
 
Mmh wazenji kwa kutaka muonekane wasafi hamjambo wakati huko doko jambo la kawaida na watu wanachekelea weee utadhan kitu cha maana
 
Katika tafiti yangu na ukaaji wangu wa muda kidogo zanzibar nimegundua kwamba

Wazanzibar kwa mujibu wao kuna wabara عامة(wa jumla) na kuna wabara خاصة (maalumu)

Mzanzibar anawaweka wabara katika nyanja mbili
1.mbara kwa ujumla ambae anakusudia kila asiyetoka zanzibar basi kwa ujumla huyo ni mbara.

2.mbara maalum ambae ndo kila asiyetoka pwani ya tanganyika mfano wasukuma,wanyamwezi,wanyakyusa n.k

Ndo mana ukikaa na baadhi ya wazenji wakianza kuponda wakajua unatoka ukanda wa pwani wa bara(tanganyika)utaskia wanajikomba ooh wewe mwenzetu atii unatoka pwani.
Ila katika baadhi ya mambo wakichukia wanakupasukia wee nini mnyamwezi kutoka bara wee? Unashangaa huyu ndo kaniita mpwani mwenzangu?

Zanzibar pana watu wa liwati wengi sana mashoga ndyo maana huyu mtoa mada naye kamlaumu makonda dhidi ya kampeni yake japo kamlaumu kwa mlango wa nyumaa.

Huyu ni mzanzibar mpuuzi,mjinga,hajielewi,ana siasa za kimiji miji iliyopitwa na wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya nitakayo yasema kaa mwenyewe ufikiri uone kama ni sawa ama laa

1. Vigodoro visivyo na staha watu wanacheze uchi wanavua nguo mbele ya watoto na watu wanashangilia

2. Singeli, watu wanaimba kwa kutukana wanacheza na mapanga vurugu tupu

3. Khanga moja na vibao kata, mtu anavua nguo anacheze na khanga bila chupi khanga imeloa laana hii nilipita sehenu nikaona huko bara kwenye baa unatoa elf 5 unapewa jagi anakuja mwanamke anakukalia huku unamwagia sehemu yoyote uitakayo kwa hyo elfu 5 kama sio laana ni nini

Uvaaji usio na staha, makucha bandia sijui manyusi uvaaji vimini masuruali na ukahaba

Watu wa bara mbadilike na huu muingiliano ndo mnaharibu na watu wa Zanzibar ningekuwa na uwezo nyie kabla hamjaja huku Zanzibar mngekuwa mnapimwa kwanza adabu

Sasa kuna mashoga wengi mpaka mkuu wenu wa mkoa kaamua aanze kamata kamata maana mmezidi mbadilike naiman MUNGU atawaongoza mtabadilika

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile appiphone

Zanzibar wasenge wako kila mtaa tena nje nje.....imekuwa kama jadi kuona kijana wa kizanzibari anashikwa makalio na wazungu huku akijichekea tu. Tembea ujionee, kwa hapa Tanzania ni Zanzibar pekee ndiyo inayo ongoza kuwa na wasenge wa kila rika. Mume wa mtu akiwa nje ya nyumba yake anapakatwa na kufinywa pumbu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom