Tabia za ajabu na mbovu za Watu wa Bara


Status
Not open for further replies.
B

Beem

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Messages
669
Likes
916
Points
180
B

Beem

JF-Expert Member
Joined May 18, 2018
669 916 180
Tatizo la wazanzibar ambalo linanikera sana.

wanapenda sana kujiona wao ni watakatifu sana kuliko wabara,mambo yote ya kipuuzi wanatutupia sisi huku,kama vile wao hawana upuuzi huo.

Nimewahi kumsikia dada mmoja wa kipemba akisema,"sioleewi na mmbara,wabara ni wachawi,walevi,basi huwa namuangalia simjibu kwangu namchukulia kama mjinga tuu.
Sio wote, wengi ni wale ambao hawajakaa huku na hawajawajua watu wa bara. Mbona wanaoleea tu na wabara, wengi tu ila wale ambao waliowahi kukaa huku na kuwajua wa bara.
 
B

Beem

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Messages
669
Likes
916
Points
180
B

Beem

JF-Expert Member
Joined May 18, 2018
669 916 180
Mabaradhuli Zenji wameisha? Hali ilivyo ya kutisha mpaka mtoto wa miaka mitano anajua Baradhuli ni nani. Innaa lillahi wa inna ilayhi raajiuun, masheikh huko Zanzibar wanalia kwa kuporomoka maadili hasa liwaatw (ushoga). Kuna mzanzibar mmoja ananiambia yani kuna shule kabisa zinajulikana ukipeleka mtoto bweni basi anarudi shoga. Kule kufanyana mbele na nyuma ni kitu cha kawaida kabisa, japo sio wote lakini ukilinganisha eneo na idadi ya watu tatizo ni kubwa. Wazanzibari wanaojielewa wanasikitika sana kwa hali hiyo. Kuna sehemu tu huko pemba ndani ndani huko ndio angalau kuna maadili kidogo, lakini kulikobakia hasa walio unguja ( ambako wakote wote waunguja na pemba) ni musiba mkubwa sana.
 
As Salafiyyu91

As Salafiyyu91

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,616
Likes
1,294
Points
280
As Salafiyyu91

As Salafiyyu91

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2014
1,616 1,294 280
Manhajj salaff,kwema mkuu?
Kwema naona jamaa anashambulia Wabara bila uadilifu wakati jamii zote ziko katika mmomonyoko wa Maadilli mkubwa hamna sehemu iliyosalimika sio bara wala visiwani kama yeye anadai huko kwao ni wasafi muulize dhambi gani ambayo hafanyiki visiwani kwa uwazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
6,690
Likes
3,311
Points
280
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2010
6,690 3,311 280
Mie mtoto wa pwani atii,.lakini huyu mzanzibar pori hajui vizuri bara na pwani...hivi kuna mahali pananuka ushoga kama zenji????
Tungefunguka hapa jinsi ushoga na usagaji kupitia zenji ulivyotamalaki mpaka serikali kuu sema tunaogopa kuitwa dodoma au kuvaa viroba.
Mzanzibar kula mwata ulale usiponze watu hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,250,102
Members 481,224
Posts 29,720,705