joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,811
Ulienda apo baaa kufanyaje na we we??
Wewe utakua mdau wa hayo mambo, kama wewe mtu wa maadili ulienda kutafuta nini Usiku huko, maana hayo hayafanyiki mchanna.
Huo upuuzi wote uliotaja unafanyika maeneo ya pwani. Tanzania Bara ni kubwa sana. Kwa mfano Zanzibar yote kwa maana ya Unguja na Pemba ni sawa na Mkoa wa Pwani na Dar. Population ya Zanzibar yote haifikii hata nusu ya population ya wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam. Tatizo lenu wapemba na waunguja mkipanda boti kuja Dar basi mnadhani mmekuja Bara. Dar ni pwani siyo Bara, kama unataka kujua utamaduni wa Bara, ukishuka tu na Azam Marine, chukua uber hadi Ubungo Bus terminal kata ticket ya basi linaloenda, Geita, Mwanza, Bukoba, Musoma, Kigoma, Mbeya, Kahama nk ukatofautishe utamaduni wa Bara na Pwani.Haya nitakayo yasema kaa mwenyewe ufikiri uone kama ni sawa ama laa
1. Vigodoro visivyo na staha watu wanacheze uchi wanavua nguo mbele ya watoto na watu wanashangilia
2. Singeli, watu wanaimba kwa kutukana wanacheza na mapanga vurugu tupu
3. Khanga moja na vibao kata, mtu anavua nguo anacheze na khanga bila chupi khanga imeloa laana hii nilipita sehenu nikaona huko bara kwenye baa unatoa elf 5 unapewa jagi anakuja mwanamke anakukalia huku unamwagia sehemu yoyote uitakayo kwa hyo elfu 5 kama sio laana ni nini
Uvaaji usio na staha, makucha bandia sijui manyusi uvaaji vimini masuruali na ukahaba
Watu wa bara mbadilike na huu muingiliano ndo mnaharibu na watu wa Zanzibar ningekuwa na uwezo nyie kabla hamjaja huku Zanzibar mngekuwa mnapimwa kwanza adabu
Sasa kuna mashoga wengi mpaka mkuu wenu wa mkoa kaamua aanze kamata kamata maana mmezidi mbadilike naiman MUNGU atawaongoza mtabadilika
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Mambo haya zanzibar hakuna labda pwani unayosema ww ni pwani ya dar na tanga
Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Japo pale ndo mitaani kwangu nilipotokea Sina uhakika Kama ni bar ambayo inapiga mziki usiku au vipi ila nikipita mchana naona milango iko waziHivi mkuu Raju bado anapigisha taarabu na Kuna shoga mmoja jina nimesahau huwa anaibisha pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Stuka basi we jamaa. Huyo mchumba anaizungumzia Tanzania bara kwa ujumla wakeWw umezungumzia pwani. Ambapo ndio tabia zao hizo.
Bars ni kubwa sana.. na most of makabila hayachez viogoro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa huenda umeandika ukiwa huna fact yoyote. Mikoa ya bara ipo zaidi 25 ila mikoa yenye tabia hizo hata 5 haifiki hivyo 20% ya mapungufu ya hiyo mikoa isikufanye uone mikoa yote ya bara inatabia hizo. Nenda njombe, iringa, mbeya, arusha, Kilimanjaro nk huwezi kuona hizo singeli wala kibao Kata wala kanga moko
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakua mdau wa hayo mambo, kama wewe mtu wa maadili ulienda kutafuta nini Usiku huko, maana hayo hayafanyiki mchanna.
Alafu nilichogundua, wazanzibar, wanafanya maovu sana, ila mbele za watu wanajifanya wema.
Walewale wanaojaza misikiti, ndie anaetamka neno msengelieee, bila aibu, Yule yule anaeswali Swala tano ndiye huyohuyo anayeejua yafanyikayo usiku baa iliyoko Tageta usiku.
Lakini ndiyo wanakesha Night club, kule Chukwaani, hebu tazameni vijana wengi toka visiwani wanaofanya maovu kuliko hata wa bara, kule wanafanya kwa kujificha, wakija huku wanafanya peupe.
Mleta mada ametaja aina za ngoma, ambazo nimezisia tu sijaziona, na zingine sijaziona kabisa, ingawa niko bara, tena nikiishi Dar kwa miaka mingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulienda apo baaa kufanyaje na we we??
Inaelekea ww mjuzi wa MAMBO haya tujuze siyeHuyuu jamaaa hajui tofauti ya pwani na bara
Zanzibar wasenge wako kila mtaa tena nje nje.....imekuwa kama jadi kuona kijana wa kizanzibari anashikwa makalio na wazungu huku akijichekea tu. Tembea ujionee, kwa hapa Tanzania ni Zanzibar pekee ndiyo inayo ongoza kuwa na wasenge wa kila rika. Mume wa mtu akiwa nje ya nyumba yake anapakatwa na kufinywa pumbu.