Tabia yako mbaya wala hujanitongoza!!

umeongea ukweli kabisa,wanume wengi huwa hawapendi kusema i love u mpk awe anamaainisha tatizo,wanawake wenyewe wanapendwa kudanganywa uutakuta anakuuliza hivi unipenda kweli sasa unafikiri hapo utamjibu nini?
 
Acha uzinzi ni dhambi, mithali 6:32 biblia inasema mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa.
hayo maandiko ndo yanaishia hapo ttu au yanaendelea,usitutafute kusema maneno ambayo hatujakusudia
 
atakuwa alimpiga mtama

hahahaha umenifurahisha sana mkuu....hakuna mtama mtoto kapewa vituko tu vya hapa na pale mwenyewe kaweweseka sasa tena baadae anadai tongozo ana wazimu sana yule.
 
au hakukolea?
hahahaha umenifurahisha sana mkuu....hakuna mtama mtoto kapewa vituko tu vya hapa na pale mwenyewe kaweweseka sasa tena baadae anadai tongozo ana wazimu sana yule.
 
Exactly, you couldn't be more precise!! I love you kutoka kwangu wamesikia wanawake wawili tu maishani... wengine wote ni kugegedana tu. Yale maneno matatu hayatoki kimchezo ati

Khaaa!
 
Ungeanza kumtongoza baada ya kupata utamu (nonino) asingekununia.


 
Last edited by a moderator:

kuachia uwazi au aendelee kuachia uwazi? :A S-coffee:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…