yaser
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 1,361
- 299
Wadada wa siku hizi bwana mi nashindwa hata kuwa-define, eti mdada nimemlaghai kaingia mpaka ndani ya 18 na baada ya ku-apply skills za kutosha mwenyewe akaamua kutoa mzigo. Mwisho baada ya mechi ananinunia eti tabia yangu mbaya sijamtongoza, kwani kutongoza kuna maana gani ikiwa nilichokitaka nilikipata au kwa kua sikumwambia "nakupenda" toka mwanzo wa mchakato mpaka unamalizika. hebu wakubwa zangu niwekeni sawa kwani maneno gani halisi ya kumwambia ili aweze kuachia "uwazi"?