Kwa nini Mungu muweza wa yote asiunganishe moja kwa moja watu wampende yeye tu na sio bangi?2 Timotheo
"Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari, Maana watu watakuwa wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu"
We Dubu umewaza Nini?Uto tumiguu twako tunatia nyege sana
Wamatumbi wengi tumekariri tu wala hatuna ufahamuWanaiongelea bangi vibaya kiasi kwamba unaweza ukahisi bangi ni mbaya.... wanashusha brand ya bangi...
Hao ni wale walioharibu maisha yao kwa makundi ya kijinga .Mtu anayevuta bangi hataki kuitwa Mvuta Bangi
Mabinti wa chuga kibokoNilikuwaga navuta bangi ila kwa sasa sivuti bangi
Kwan hao uliokutana nao wamekupa majibu gan.
Maisha ni mipango kila mtu anayake ebu pambana na yako
Kwa maana hiyo jf hakuna warembo?Si ungewauliza wahusika wenyewe huko unapokutana nao?
Huyo sadali anapatikana wapi asee? hana skanka kweli hahahaNakumbuka tukiwa sekondari kidato cha pili tulikua tunajitenga tukavute kijiti, ila kuna binti akawa anatuganda tukamwambia atuache tukale mavitu yetu, akasema hata yeye ni mdau, kwahyo tukaenda nae.
Chimbo lilikua ni ghorofa ya shule ilikua aijamaliziwa.
Tukaanza kukizungusha kijiti, ilipofika zamu ya yule binti alipiga pafu za kutosha kama vile legendari.
Wakati mzunguko unaendelea yule binti ajavua sweta, akaanza kupiga kelele(ukunga/yowe) huku anashuka ngazi kwa speed, anakimbilia ofisini anamuita mwalimu(anataja jina)..
Tulipata wenge tukamkimbiza hatukumshika, akazama ndani ofisini akamfata yule mwalimu akamkwida mbaya kabisa..
Uzuri ni kwamba yule mwalimu alikua ni mtu wa imani kwahyo akawa anamkememea mapepo.
Yule binti akawa anamwambia sio mapepo nimevuta bangi, mwalimu anakazana kumpiga faya, baadae yule binti akaanguka kama kazimia ikachukua kama masaa mawili akazinguka mzima.
Kwahyo maombi yakawa yametiki na tukawa tumepona.
Unavuta hadi unazima ukiamka unaanza mapambiooMabinti wa chuga kiboko
Umenikumba kwenye mkesha krismas kitambo hicho, tulivuta tukapiga nyimbo za kuabudu kwa hisia , kesho yake mdada mmoja mlokole akaasema kaonyeshwa na Mungu jana tulishukiwa na roho mtakatifu.Unavuta hadi unazima ukiamka unaanza mapambioo
Demi usiponijibu Leo kitaumana😁Ni kitu gani kinawasibu dada zetu?
AiseeeeNilikuwaga navuta bangi ila kwa sasa sivuti bangi
Wanazungua kinoumaMshaanza kutufatilia wavuta mpepe 😹😹
Njoo kuMabinti wa chuga kiboko