- Thread starter
- #21
[emoji23][emoji23] yaani vile vile mkuuKaa kwa kutulia.. View attachment 1579705
[emoji23][emoji23] yaani vile vile mkuuKaa kwa kutulia.. View attachment 1579705
Hiyo tabia mimi inanikera sana mkuu ukizingatia mtu unamalengo nayeHKPND
To be honest message za vifupi zinaboa me huwa sizijibu
Ukishindwa Acha ila jitahidi umzoee tuu "it is what it is"Hiyo tabia mimi inanikera sana mkuu ukizingatia mtu unamalengo naye
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Hakupendi kabisa huyu mkuu. Na anafanya hivyo makusudi.
Kuna jemba inatumiwa meseji nzima nzima huko. Na hakubanii kwenye meseji tu hata kitandani.
Cha kufanya piga chini kabisa huyo.
Huyu kweli mkulungWaKaa kwa kutulia.. View attachment 1579705
utoto huuuKaa kwa kutulia.. View attachment 1579705
Tania ×
Tabia ✓
Massage ×
Message ✓
Kwamfano ×
Kwa mfano ✓
Tuanzie hapa kwanza
Huyo mtoto bana wee, sikiliza wakubwa utapata kitu acha ubishi. Mwanamke above 25 yrs ndio anaanza kuwa mtu mzima kiakili.[emoji3][emoji3]siyo mtoto mkuu 20years umuite mtoto
Wasalaam wakuu
Ninampenzi wangu ananisumbua sana na hii tabia ya kuandika massage nusunusu kwamfano,nambiy,kmy,p,k,ww, yaani simuelewi kabisa,nimekuwa nikimwambia sipendi hiyo tabia lakini ndo anazidi kuendelea nayo,naombeni ushauri huyu mwanamke ananipenda kweli au ndo tabia za wanawake siku hizi
Hao sio wanawake ni wasichana mkuu tena vitoto