Kwa Maelezo Yako Ni Rafk Wamanufaa Hvo Nawe Mfae Kwa Ushauri Daily Ili Aondokane Na Huo Uvivu Usio Maana
Yaani weekend unapumzika anapiga simu kuwa anashida, kwa jinsi ninavyomheshimu ninamsikiliza ukitoka hapo akili umeichosha hata haikuwa weekend tena.
Kweli kabisa na kuja hapa jukwaani cjaelewa anaomba ushauri au kitu gani?Paragraph ya kwanza umetuonyesha jinsi unavyo furahia mambo anayokufanyia..
Para iliyofuata ubatuonyesha jinsi wewe usivyopenda kutaka kumfanyia msaada yeye.
Binaadamu mzigo wa miiba. Hard to carry it
[emoji110][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Paragraph ya kwanza umetuonyesha jinsi unavyo furahia mambo anayokufanyia..
Para iliyofuata ubatuonyesha jinsi wewe usivyopenda kutaka kumfanyia msaada yeye.
Binaadamu mzigo wa miiba. Hard to carry it
Nina rafiki ki umri amenizidi miaka miwili lakini Hii ni age range moja. Huyu rafiki ananipenda mno siwezi kukata, ananichukua kama ndugu yake wa damu. Mfano tu kulikuwa na safari kanisani tulitakiwa kuchangia usafiri, malazi na chakula. Ilikuwa laki tano jumla, wakati ninajipanga niitoe, shost aliniambia amelipa ya kwake pamoja na ya kwangu. Nilimuambia nitamrudishia alikataa kabisa.
Alikwenda holiday akaniletea designer handbag, kwakweli gharama yake nisingewaza kununua kwa pesa yangu.
Tatizo linakonikera anapenda sana kufanyiwa mambo mengi. Mfano ukimwambia kuna kazi nimeona wanatangaza, atakuambia Uje basi nyumbani unisaidie kujaza fomu. Ukifika kwake anakupa computer hii, majina yangu ni haya. Kheri angesama nilijaribu nineshindwa ninaomba msaada.
Kibaya zaidi hata academic work, anaomba msaada, ataniita amepika chakula, kuna glass ya wine kumbe amekuitia assignment yake ya darasani.
Kama anashindwa assignment hii course si aiache. Kwakweli ninampenda lakini urafiki unanishinda.
mnachukua masters ya nini?Nina rafiki ki umri amenizidi miaka miwili lakini Hii ni age range moja. Huyu rafiki ananipenda mno siwezi kukata, ananichukua kama ndugu yake wa damu. Mfano tu kulikuwa na safari kanisani tulitakiwa kuchangia usafiri, malazi na chakula. Ilikuwa laki tano jumla, wakati ninajipanga niitoe, shost aliniambia amelipa ya kwake pamoja na ya kwangu. Nilimuambia nitamrudishia alikataa kabisa.
Alikwenda holiday akaniletea designer handbag, kwakweli gharama yake nisingewaza kununua kwa pesa yangu.
Tatizo linakonikera anapenda sana kufanyiwa mambo mengi. Mfano ukimwambia kuna kazi nimeona wanatangaza, atakuambia Uje basi nyumbani unisaidie kujaza fomu. Ukifika kwake anakupa computer hii, majina yangu ni haya. Kheri angesama nilijaribu nineshindwa ninaomba msaada.
Kibaya zaidi hata academic work, anaomba msaada, ataniita amepika chakula, kuna glass ya wine kumbe amekuitia assignment yake ya darasani.
Kama anashindwa assignment hii course si aiache. Kwakweli ninampenda lakini urafiki unanishinda.
Muda hakimu.
Hongera kwa moyo mkuuMimi ninakaa Gheto na Mshkaji.
- Anakunywa Pombe Balaa ( Mshahara wake haumalizi siku 5 ).
- Anavuta Bange Balaa, Tena Wakati Mwingine Uko Gheto Umelala - Yeye Anatoa Anawasha.
( Nilishamwambia Moshi Wa Bange Unaniumiza, Ila Hajali ).
- Akinywa Pombe Mpaka Anazima, Anatapika na Kukojoa Gheto. Usafi ni Mimi.
- Pesa Ya Chakula Hachangii Wala Kodi, Ni Bange Na Pombe tu Ndo Kazi.
- Akiishiwa Hata Nauli Na Hela Ya Sigara Anakusumbua Wewe.
Meanwhile, Mimi Sivuti Chochote wala Sinywi Pombe.
Naishi Nae Kwa Kuwa Na Mimi Mwenyewe Nimesaidiwa Sana Na Watu. Ingawa Ndo Hivyo Vingine Ni Kuvumiliana Tu.
Nipe namba yakeYaani weekend unapumzika anapiga simu kuwa anashida, kwa jinsi ninavyomheshimu ninamsikiliza ukitoka hapo akili umeichosha hata haikuwa weekend tena.
hivi samehe saba mara sabini ukiifanya saidia rafikiyo saba mara sabini inakuwajeNina rafiki ki umri amenizidi miaka miwili lakini Hii ni age range moja. Huyu rafiki ananipenda mno siwezi kukata, ananichukua kama ndugu yake wa damu. Mfano tu kulikuwa na safari kanisani tulitakiwa kuchangia usafiri, malazi na chakula. Ilikuwa laki tano jumla, wakati ninajipanga niitoe, shost aliniambia amelipa ya kwake pamoja na ya kwangu. Nilimuambia nitamrudishia alikataa kabisa.
Alikwenda holiday akaniletea designer handbag, kwakweli gharama yake nisingewaza kununua kwa pesa yangu.
Tatizo linakonikera anapenda sana kufanyiwa mambo mengi. Mfano ukimwambia kuna kazi nimeona wanatangaza, atakuambia Uje basi nyumbani unisaidie kujaza fomu. Ukifika kwake anakupa computer hii, majina yangu ni haya. Kheri angesama nilijaribu nineshindwa ninaomba msaada.
Kibaya zaidi hata academic work, anaomba msaada, ataniita amepika chakula, kuna glass ya wine kumbe amekuitia assignment yake ya darasani.
Kama anashindwa assignment hii course si aiache. Kwakweli ninampenda lakini urafiki unanishinda.
Kwa jinsi nilivyomuelewa yeye huwa hamuombi!!...angekuwa anamuomba sawa ingekuwa lazima afanye hata hizo assignment!
Mshauri atafute rafiki wa kiume sisi huwa hatuchoshwi na kusaidia kama atanipa heshima na nanii basi.
Tatizo sasa shule mimi nilifeli hizo academic work ndiyo kazi za kitaalamu au kitaaluma?
bbade anatafuta rafiki kama huyo.
Mara nyingine tunajizuia sana kuombaomba kwa marafiki kwa sababu hatuwezi Ku provide kama vile tunavyopewa kutokana na uchumi wetu unakuwa unajitosheleza wewe tu siyo ubinafsi!!ni ustaarabu tuKwa nilivyokuelewa Hujawahi kumwomba msaada labda unajizuia kufanya hivyo. Hiyo laki tano alikulipia hujamwomba. Hiyo handbag hukuomba alikupa mwenyewe. Hayo matunda na mazagazaga hukumwomba alikuletea mwenyewe. Inavyoonekana wewe unajizuia usimpe shida zako ili asikupe za kwake lakini unamshangaa amekuwa haendani na taratibu hiyo.
Kwa mawazo yangu wewe ni Mtu mchoyo.
Mtu wa namna yako ha-share siri na rafiki yake ni Mtu mbinafsi want to keep 4 herself.
Huyo dada sidhani kwamba hajiwezi academical nafikiri anakushirikisha. Na mtu akikushirikisha ni kwamba anakujali na siyo kwamba hakupata mwingine wa kumshirikisha.
Mwisho upendo haujali au haufuati mambo yake mwenyewe. Huyo rafiki yako ningempata mimi ningefurahi mno. Anaonekana hana roho ya kimasikini ya kwanini +!