Tabia ya rafiki yangu ni mtihani

Mungu wangu! Huyu sio rafiki yangu Happy amekupa huu ujumbe uje kuuweka hapa kweli? Anyways,nami nina la kujifunza hapa maana sio kwa kumchosha kule best yangu.🤦‍♀️
Naye yupo hivo.?
 
Hii ni too much hata kama umesaidiwa katika maisha sio kwa kubeba mzigo mzito kiasi hiki.... hongera mkuu una moyo mkubwa sana.
 
Urafiki ni kusaidiana, kuvumiliana na kubebeana madhaifu. Wewe umebarikiwa kitu kingine naye kabarikiwa kingine, mnasaidiana kwa kile kila mmoja wenu alichobarikiwa kuwa nacho.
Kweli kabisa hauwezi kujua kesho. Urafiki ni kuvumiliana na kusaidiana kwa hali na mali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urafiki ni kusaidiana, kuvumiliana na kubebeana madhaifu. Wewe umebarikiwa kitu kingine naye kabarikiwa kingine, mnasaidiana kwa kile kila mmoja wenu alichobarikiwa kuwa nacho.
Nimekuwa nakusoma saana hapa jukwaani.

Wewe ni nanilihii?.. Nikiandika haya mavitu kama ni wewe utayakumbuka... Emba...KRT...E....waha??
 
Ubinadamu kazi, akikufanyia wewe sawa ila wewe kumfanyia na uzi umefungua. Ukipenda kupokea penda na kutoa.
 
Paragraph ya kwanza umetuonyesha jinsi unavyo furahia mambo anayokufanyia..
Para iliyofuata ubatuonyesha jinsi wewe usivyopenda kutaka kumfanyia msaada yeye.

Binaadamu mzigo wa miiba. Hard to carry it
Dogo umewaza kama mimi[emoji108][emoji108][emoji108]
 
Huyo wa kwako ni mwiba..muachie chumba kapange kwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi urafiki wa hivyo siuwezi. Nawajua sana watu wa hivyo, huwa nature yao ni WAVIVU SANA! Mngekua mpo chuo kazi yake ingekua kukutuma umletee chakula hostel

Hate it! Sifanyagi hiyo kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada ana roho nzuri sana, kuna siku nilitoka safari, nilimkuta mlangoni ananisubiri na kapu ndani likikuwa na maziwa, mikate, matunda, nyama, mchele na mazagazaga kibao. Aliniambia pika ule upumzike mpaka utakapopata muda wa kufanya shopping.

Lakini ana visa.
 



Wazungu walonga; "A friend in needy is a friend indeed"

Misaada/takrima anayokupa ndiyo inajilipa, huo ndiyo urafiki wa kufa na kuzikana, msaidie ili afanikiwe ili nawewe uundelee kula takrima kutoka kwake na hata ukipatwa na shida iwe rahisi kumuomba msaada, hiyo ni kama investment ili hapo baadaye upate mavuno ni sawa na ng'ombe ili atoe maziwa ya kutosha mpatie nyasi na pumba, no input no output.🤣🤣

Halafu kwanini unatoa siri za rafikiyo hadharani ukimuonyesha rafikiyo ni caput academically🤣,, wanawake bwana lini mtatunza siri??.

Adolf Henchman, yule mnyongaji wa wayahudi kule ujerumani aliponzwa na mkewe hadi akashikwa na makomando wa Israeli kule Argentina , nyie ni hatari kweli mking'ang'ania kitu.🤣
 
Kwa Maelezo Yako Ni Rafk Wamanufaa Hvo Nawe Mfae Kwa Ushauri Daily Ili Aondokane Na Huo Uvivu Usio Maana
 
Umemwambia haya yote kabla hujaja kumnanga hapa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…