Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,644
- 6,028
Ipo. Sema tu nimeisahau. Nikikumbuka ntakuwekea hapa.Hamna program za kuficha chat na call log tuu kwenye number zenye matukio
Ipo. Sema tu nimeisahau. Nikikumbuka ntakuwekea hapa.Hamna program za kuficha chat na call log tuu kwenye number zenye matukio
Mchepuko dam changa huwa zina raha yake😂😂😂Michepuko kwako ni lazima???
Mkeo hakutoshelezi/ana shida??
Ndo nini hii sasa. Dah mauaji haya.Wala usihangaike!
Ameanza kukuwekea ndimu ya Kichina kuua urijali wako 🤏
Usicheze na mwanamke
Mada yangu Ni :- Tabia ya mwanamke kupekua simu ya mume.
Naam WAJUMBE nimekumbwa na hiii kadhia ya kukaguliwa simu na Shemeji yenu wiki 3 mfululizo na anakuta majanga (sms za michepuko katika hali ya kujisahau bla kufuta sms na call log za michepuko).
Kiukweli hadi sasa furaha imetoka kwa mke wangu, naombeni ushauri juu ya namna ya kuithibiti simu yangu isikutwe na vimeo hasa msaada wa Program za siri za kuficha SMS na call log za michepuko maana sometimes inashindikana kutokana na desturi yangu.
(Wanaume hapa nadhani tunaelewana)
Nahitaji hapa za kuchat private
Uko sahihi mkurugeinzi lazima kuna kitu sehem, pengine hataki kukaa na gulunetUkiona mpaka mke anakupekua pekua ujue kuna shida mahali yani. Inaonekana ni dhahiri umechemka kujicontrol unapelekeshwa na michepuko. Cha msingi rudi on your senses kwanza.
Na yeye wataka umuongeze kwenye orodha ya mchepuko?! Ndugu uko sawa?Uje ataa DM
Ukijifanya kidume!Ndo nini hii sasa. Dah mauaji haya.
Ipo mkuu, unaficha calls na msj. Unaweka ishara ambayo zikiingia meseji za namba za matukio utafahamu wewe tu kuwa imeingia, na namna ya kuifungua ni wewe tu utaweza, mwingine atafikiri ni notification ya kawaida tu.Hamna program za kuficha chat na call log tuu kwenye number zenye matukio
Mambo mengine kuuliza juu utatuzi wake ni uvivu wa kufikiri na matumizi mabaya ya akili.Mada yangu Ni :- Tabia ya mwanamke kupekua simu ya mume.
Naam WAJUMBE nimekumbwa na hiii kadhia ya kukaguliwa simu na Shemeji yenu wiki 3 mfululizo na anakuta majanga (sms za michepuko katika hali ya kujisahau bla kufuta sms na call log za michepuko).
Kiukweli hadi sasa furaha imetoka kwa mke wangu, naombeni ushauri juu ya namna ya kuithibiti simu yangu isikutwe na vimeo hasa msaada wa Program za siri za kuficha SMS na call log za michepuko maana sometimes inashindikana kutokana na desturi yangu.
(Wanaume hapa nadhani tunaelewana)
Nahitaji hapa za kuchat private
Mimi sipendi kushika simuUkiona mpaka mke anakupekua pekua ujue kuna shida mahali yani. Inaonekana ni dhahiri umechemka kujicontrol unapelekeshwa na michepuko. Cha msingi rudi on your senses kwanza.
Umeolewa mamy? Unaonekana una busara unanifaa sanaMimi sipendi kushika simu
Ila Kuna NAMNA huwa mnabadilika Hadi mnashindwa kujicontrol
Hapo ndo nashika nascreenshot najitumia nauchunua
Ntakuwa nakupa moja moja tu.
Nitakukumbusha maradhi.....
Nikiona yanazidi nakupa Uhuru uende unakoburudika , maana Mimi nimeshagundua siwezi kukuridhisha