Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,787
Wewe wasema.
Msikilizaji ni wewe!
Wewe wasema.
Mie nanukuu!
Haya nukuu! Mie unipe nakala!
Subiri hapo hapo, usiondoke.
Si itakua adhabu? Niko bafuni !
Ukishindwa acha!!
Niache kuoga, niache nakala?
na kwanini wasilale pamoja amsumbue mwenzake akishalala amuamshe?je akiwa kalala yeye akiamshwa atatoa malavidavi?
SMILE hata akiachwa kwa mwaka mzima hutasikia baba mapolomoko geukia huku, inakuwa ya baba paroko naleta mashitaka kwako visigino na vipepsi kwasana.wanaume tunashidasana. aukwakuwa tunaoa ambao wameshatumika kwa sana wanakuwa walisha choka
Mh! Wanaume hata mfanyiwe nini hamkubali ni lazima mkaonje huko nje, sasa sijui huwa mnakuta utamu tofauti au ni vipi.... Yakiwakuta makubwa mnarudi hoi kwa wake zenu....
vipi ile unaambiwa utapata asubuhi, au unakatiza usingizi wangu...
Ni kweli to some extent ingawa wanaume nao wana matatizo yao maana utakuta mwanamke anafanya yote anayotaka mmewe but bado lijianaume linatoka nje ya ndoa bila hata aibu. Foolish