BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,284
Siwezi kuuita umaskini.... but to know your priorities in your daily routines.
umaskini unasumbua bhana.
umaskini unasumbua bhana.
nipe msaada basiiiiiiiiii
enhe...msaada upi, wa bundle au wa video LOL
PM zingekuwa zinaanikwa hadharani yawezekana usingekosa kwenye orodha teh teh kama hudai keep it up naona utakuwa kundi moja na Mtambuzi amegeuka simba anachezewa sharubu lakini hana meno
Mh! Wanaume hata mfanyiwe nini hamkubali ni lazima mkaonje huko nje, sasa sijui huwa mnakuta utamu tofauti au ni vipi.... Yakiwakuta makubwa mnarudi hoi kwa wake zenu....
Ni kweli to some extent ingawa wanaume nao wana matatizo yao maana utakuta mwanamke anafanya yote anayotaka mmewe but bado lijianaume linatoka nje ya ndoa bila hata aibu. Foolish
Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao
- Mwanamke asiyemtamkia kabisa mumewe kuwa anajisikia kuwa naye.
- Mwanamke ambaye baada ya mechi huwa haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika
- Mwanamke ambaye akiwahi kulala yeye mume akija hataki kuguswa
- Mwanamke ambaye mumewe akimgusa anakubali huku analalamika .. kama ulikuwa unataka kwa nini hukuwahi kulala unangoja nilale ndo unakuja kunisumbua..
- Mwanamke huyo hatingishiki kwenye mechi kata kidogo tena amenuna... anangalia kushoto au kulia anangoja goli liingie ... kama golikipa aliyekata tamaa ya kudaka penati......
- Mwanamke haweki kabisa maandalizi kama zana za kufanyia usafi baada ya mechi kama taulo, kitambaa nk
- Ziko nyingine nyingi ambazo ni kero zinazowafanya wanaume kusononeka....na mara nyingine juamua kuzira na kuwa mwanzo wa mmoja kuhama chumba..... Wanawake wenye tabia hizi jirekebisheni
Pole sana ni wimbo tu.
We umeoa kwani? Halafu lile BMW nimelipata hahaaaaa
he he he! Smile umekaa!!still waiting kuona uso!mpeane space jamani? kila siku unataka hata humuachi mtu kuwa na njaa?
asubuhi..usiku mara 3 bado kazi na stress za dunia hiyo hamu ataitoa wapi?.......mpe likizo mkuu atarudi na appetite hadi mwenyewe utakimbia
ndoa ngumu lakini...sijui kama nitaweza
Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao
- Mwanamke asiyemtamkia kabisa mumewe kuwa anajisikia kuwa naye.
- Mwanamke ambaye baada ya mechi huwa haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika
- Mwanamke ambaye akiwahi kulala yeye mume akija hataki kuguswa
- Mwanamke ambaye mumewe akimgusa anakubali huku analalamika .. kama ulikuwa unataka kwa nini hukuwahi kulala unangoja nilale ndo unakuja kunisumbua..
- Mwanamke huyo hatingishiki kwenye mechi kata kidogo tena amenuna... anangalia kushoto au kulia anangoja goli liingie ... kama golikipa aliyekata tamaa ya kudaka penati......
- Mwanamke haweki kabisa maandalizi kama zana za kufanyia usafi baada ya mechi kama taulo, kitambaa nk
- Ziko nyingine nyingi ambazo ni kero zinazowafanya wanaume kusononeka....na mara nyingine juamua kuzira na kuwa mwanzo wa mmoja kuhama chumba..... Wanawake wenye tabia hizi jirekebisheni
Inasemekanaaa . .
Tuwekee na sababu basi.
Mbona kiukaliukali! Uneguswa?
Huoni kwamba hilo ni zigo tu lililojaa usawazisho?
Mmh! Labda !