Tabia ya Mtu kufanana na Mungu na tusio yaamini sana.

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,751
Reaction score
15,545
Huenda ni kwasababu ya nidhamu ya uwoga na ujinga ndio sababu tumekuwa watumwa wa kifikra,
Mapokeo mabovu ya kidini na Waalimu wanafiki ndio wametufikisha hapa tulipo leo katika fikra za kila mmoja wetu..

Ni maswali kuhusu huyu Mungu na nini anakifanya kwetu hadi sasa.

Tabia
Wajinga wengi wanasema wewe amini unacho kiamini bila utafiti.
Utafiti wa kina, kusoma na kulinganisha matukio ya nyuma (research) ndio msaada pekee, kusudi usidanganyike kirahisi

Tabia au mihemuko ya Mtu hufanana sana na Tabia ya Mungu.

1. Mume anavyomtawala na kumlinda mkewe kama kiumbe kisicho na nguvu.
Hii ni nature ya Mungu anavyotuona sisi binadamu, Yeye ni Mume na mtu ni Mke hii ndio tafsiri nyepesi ya kujua wewe ni nani kwa Mungu.

2. Baba na Mwana
Mungu ni baba aliyetuzaa binadamu wote na mahusiano Kati ya Mtu na Mungu yanawezakuwa kama Mtoto na Baba yake.

3. Marafiki wawili.
Mungu na Mtu wakielewana sana wanakuwa kama marafiki wawili vipenzi.

4. Tunda la ujuzi wa Mema na Mabaya ni Tunda ambalo hata adamu asingekula ipo siku Mungu angewapa wale.
Kwani ni tunda zuri lilobeba maarifa sema tu Adamu alikula kwa Muda usio sahihi.

5. Ushindani.
Mungu anapenda ushindani, kama sisi binadamu tulivyo na hurka ya kupenda kushinda na Mungu ni hivo hivo, ndio maana Kachagua Nguvu ya Mema kushindana na Nguvu ya uwovu.
Ni Mungu kaumba nguvu ya wema na ni Mungu kaumba nguvu uwovu.

6. Nguvu ya Nuru ni kwenda anavyotaka Mungu, na Nguvu ya giza ni kuenenda bila msaada wa Mungu mkuu.

7. Kufanya jambo lolote kwa Matakwa yako binadamu ni dhambi.
Lakini kufanya kwa kuagizwa na Mungu si dhambi, iwe ni kuuwa, kuiba, Kusali, kama ni Mungu kakutuma basi sio dhambi kabisa.
Ushahidi ni mwingi kwenye Maandiko ya vitabu.

8. Mungu akikupa kitu chenye thamani kubwa lazima kuna gharama utazilipa.
Hatima kubwa, vita kubwa zaidi.

9. Adui wa Mtu si Shetani ni Pesa.
There are two God, 1. God, 2. Money

10. Mungu hutumia watu dhaifu kudhalilisha wanaojiona kuwa na Nguvu sana.

11. Mungu hampi Mtu kitu kwa sababu kaomba na kufunga sana, hutoa kile ulicho pangiwa na kinacho kustahili.

12. Maumivu (pain) hutumika na Mungu kuwajenga watu imara.
Ukitaka kuwa na Nguvu ni lazima upitie maumivu kwanza.

Hosea 4:6a Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa;

SIO KWA KUKOSA MAOMBI NA SALA AU KWA KUVUNJA SHERIA.
Kinachokuuwa ni ujinga sio kushindwa kufata sheria.
 
Huenda ni kwasababu ya nidhamu ya uwoga na ujinga ndio sababu tumekuwa watumwa wa kifikra,
Mapokeo mabovu ya kidini na Waalimu wanafiki ndio wametufikisha hapa tulio leo katika fikra za kila mmoja wetu..

AMINA KWA CHAKULA FIKIRISHI ASUBUHI HII..🙏🙏
 
Back
Top Bottom