Kwamba wananchi hawawezi kuona mafanikio yake mpaka aseme yeye mwenyewe ?The end justifies the means.
Amefanikiwa kwenye mengi na huwa anayaongea sana kwenye hotuba zake.
Jaribu kurejea.
Kwa mfano ...The end justifies the means.
Amefanikiwa kwenye mengi na huwa anayaongea sana kwenye hotuba zake.
Jaribu kurejea.
Sio tutadharaulika tumeshadharaulika tayari sasa hivi ni aibu kujiita mtanzania ...Kiukweli binafsi sijawahi kumkubali huyu kiongozi hata kidogo. Hafuati kanuni, taratibu na sheria ya chochote.
Hajali watumishi, hajawapandisha madaraja wala mishahara Miaka mitano sasa.
Anaona fahari kutumbua watumishi hata kwa vimakosa kidogo. Hana utu hata kidogo.
Kwa hili la corona tutadharaulika na Dunia nzima.
Wananchi wanayaona mafanikio ila wachache hawayaoni,(cdm)huwa anayasema/kuwakumbusha wayaone sio kupiga kelele tuKwamba wananchi hawawezi kuona mafanikio yake mpaka aseme yeye mwenyewe ?
Hakuna kitu inanichosha Kama barabara ya njia sita Dar chalinze,wenzake waliweka mipango mizuri na WB kujenga barabara hiyo.alivyopata urais akadhani kila kitu ni kutumia nguvu tu na mabavu,sijui alikuwa na ugomvi na mtu pale kimara? Bwana wewe acha nyumba zibomolewa bwana,WB walivyomwambia kwa ubomoaji huo bila fidia pesa hapa hakuna.Kaja kimara mwisho kufanya igizo la kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara hiyo kwa fedha za ndani Kama jibu kwa WB kuwa pesa anayo. Unajua nini kinaendelea 3 years tangu kuwekwa jiwe la msingi? Aise Kuna watu hawana aibu kabisaHuku kwenye ujenzi kaja na force account ambayo imefeli vibaya sana,
Kanunua ndege cash kwa mbwembwe lakini anashinndwa kuwanulia wanyonge barakoa na sanitizer
Mafanikio yapi mkuu,ya kujenga barabara ya Kimara kibaha kilometa 17 kwa miaka mitano au?Wananchi wanayaona mafanikio ila wachache hawayaoni,(cdm)huwa anayasema/kuwakumbusha wayaone sio kupiga kelele tu
Jakaya ilikuwa billion .300 jiwe kaiba trillion 2.4 alafu poa tu bunge dhaifuKalamu1,
Alipokuwepo Jakaya Kikwete watu wakawa wanajipigia fedha,na wengine kubeba kwenye sandarusi mkawa mnasema rais gani huyu mpole anacheka cheka tu.
Amekuja huyu mzee wa kazi mnaanza maneno mengine. Rais lazima awe mkali na lazima aogopwe ili mambo yaende. Sasa ile Petrol station kama ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara we ulitaka iachwe? I am not a politician but i have common sense.
Jakaya ilikuwa billion .300 jiwe kaiba trillion 2.4 alafu poa tu bunge dhaifuKalamu1,
Alipokuwepo Jakaya Kikwete watu wakawa wanajipigia fedha,na wengine kubeba kwenye sandarusi mkawa mnasema rais gani huyu mpole anacheka cheka tu.
Amekuja huyu mzee wa kazi mnaanza maneno mengine. Rais lazima awe mkali na lazima aogopwe ili mambo yaende. Sasa ile Petrol station kama ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara we ulitaka iachwe? I am not a politician but i have common sense.
Teh...mafisadi walishaiweka nchi mfukoni....yanapiga hela halafu umeme hauonekani...Mimi nakumbuka na sitasahau umeme (TANESCO). Sijui kwanini walikuwa wanakatakata na kutusababishia kutumia majenereta. Mpaka Wakurugenzi wakuu (km Mrema) alimgomea asikate umeme
Leo umeme chee, friji haiozeshi tena JF siikosi kama si mvua naweza kwenda popote TZ na Vits
Hayo mabaya nawaachieni lkn angekuwa Rais mwingine sijui matajiri wangetuweka wapi?
Hakuna kitu propaganda tuWewe umeangalia mapungufu tu, rejea na upande wapili kama hauoni basi ni bahati mbaya
Utayaonaje wakati umeshajitoa ufahamu una yakana sababu tu ya chuki yako umeziba macho na masikioMafanikio yapi mkuu,ya kujenga barabara ya Kimara kibaha kilometa 17 kwa miaka mitano au?
Nisaidie kuelewa ubabaishaji wa Prof Assad na ustraight wa DABKujua uwezo wa Magufuli kiutendaji waliuze Mkapa na Kikwete .
Kwa Magufuli ukiwa mbabaishaji hamtaelewana hata siku moja ,ukiwa straight hapo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unajua sheria zipo kwa ajiri ya watu au?unadhani why sheria huwa zinabadirishwa? Serikali ni Mali ya watanzania na IPO kwa ajiri ya kuwahudumia,ni bahati mbaya tuna rais ambaye anadhani serikali ni chombo cha kuwakomoa watanzania na pesa za serikali hazitokani na watanzaniaSasa mtu amejenga ndani ya hifadhi ya barabara alafu unataka alipwe? Nenda kasome Road Act,2007. Section 1 mpaka mwisho.
Zaidi ya propaganda kipi kilichofanikiwaWewe umeangalia mapungufu tu, rejea na upande wapili kama hauoni basi ni bahati mbaya
Amfukuze na Estim hawezi akajenga barabara ya 17 kms for 4 years na Kama shida ni pesa basi nae ajitadhimini Kama anatoshaUzembe tu unao wasumbua hasa kizazi hiki cha Chips mayai, na Magufuli hataki huo Ujinga na ndiyo maana wao wanauita ni mikwaruzano kwenye Miradi yake,
Uzembe wa miradi iliyokuwa inapaswa iishe ndani miezi mitatu inachukua miaka tatu,?
Kati ya ya kandarasi anayeshindwa kumaliza kandarasi yake na anayekuja kumuuliza Kwa nini uko nje ya mkataba, hivi ni Nani mkorofi Kati Yao kama sio mkandarasi
Mkuu you mean jabari kwa maana ya maguvu ya mwili au akili mingi?Ni misemo tuu ya Kiswahili, mkataa pema, pabaya panamwita, tulimbeza sana JK kuwa ni rais dhaifu, sasa ameingia jabali, watu wanamkumbuka JK
P
Kwani Sheria zinabagua?Kwani sheria inasemaje ukijenga ndani ya hifadhi ya barabara? Ukivunjiwa unalipwa?