Tabia ya mtu haibadiliki

Jino lililo chongoka ndilo linalosaga chakula , kukata mifupa kung'ata ili meno butu yakitatafune tayari kwa kumeza.
Miaka 20 mbele watoto au wajukuu zetu watamsifu magufuri na kumpa heshima ya sokoine.
Ila joto la jiwe lazima litulionje sisi
 
Na wewe uwe rais tuone tabia yako ,majungu tu ,huna lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wanamuhanya mwamba geu

Mwamba geu punguza makali bana
Ni misemo tuu ya Kiswahili, mkataa pema, pabaya panamwita, tulimbeza sana JK kuwa ni rais dhaifu, sasa ameingia jabali, watu wanamkumbuka JK
P
 
Kujua uwezo wa Magufuli kiutendaji waliuze Mkapa na Kikwete .

Kwa Magufuli ukiwa mbabaishaji hamtaelewana hata siku moja ,ukiwa straight hapo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa sasa umejibu nini unachojua wewe. Huyo mtu hakufidiwa kwa uharibifu wa biashara yake?
Sasa mtu amejenga ndani ya hifadhi ya barabara alafu unataka alipwe? Nenda kasome Road Act,2007. Section 1 mpaka mwisho.
 
Aisee tena hao watumishi ndo wamelifikisha taifa pabaya, wengi walikuwa Mungu watu.
Acha ainyoshe nchi kuna siku mtamkumbuka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…