Tabia ya kuzima data ni ushamba

Hatuzimagi data kwasababu ya chaji, tunazima data walau kuepuka kua na simu tu wakati wote na kuacha shughuli zingine zote. Message za whatsapp, FB (messenger) nk plus sms za kawaida huwezi zitofautisha, so simu inabaki hewani ili sms za kawaida na calls only ndio vibaki ambavyo may be vinaweza kuhitaji attention kubwa zaidi kuliko hivyo vinavyo weza kusubiri. That is kwa upande wangu.
 
Asee kuhusu kuzima data au kutokuzima kwamba inachangia kumaliza battery hio sio case sana, matumizi yako ya simu ndio chanzo cha kumaliza data na mkae mkijua kwamba 60% ya kinachomaliza chaji ni DISPLAY.
 
Asee kuhusu kuzima data au kutokuzima kwamba inachangia kumaliza battery hio sio case sana, matumizi yako ya simu ndio chanzo cha kumaliza data na mkae mkijua kwamba 60% ya kinachomaliza chaji ni DISPLAY.
namaanisha matumizi yako ndio chanzo cha kumaliza chaji
 
mi natumia tecno charge 24 hrs uwe umewasha data muda wote ni wewe.....

NB

uzuri wa tecno ni charge tu, usije ukanilaumu bure
 
Mshamba ni wewe usiyejua matumizi na ulazima wa kuzima au kuwasha Data ...
 
New member wa simu za kupyata (smart phone) Pole

Mtoa mada hajielewi

Huku ndio kukurupuka. Watu wengi wanazima data kuokoa betri na hata wakiwasha data wanakuwa wapo karibu na charger/umeme!

Tusipangiane!

Duh cm yng ,,bando langu bado unanipangia em pita kule

Hata waliotengeneza Smart phone huwa wanazima data.

Ndio maana waliweka Option ya kuzima na kuwasha data.
Msameheni huyu kijana ni mgonjwa
Ni miaka 15 sasa tangia nianze kunuka sehemu za huku chini
Ni miaka 15 sasa tangia nianze kunuka sehemu za huku chini
 
TANGU MWAKA HUU UANZE HIII INAWEZA KUWA POST YA KIMBURULA ZAIDI HUMU JF, AU LABDA IMETUMWA NA MGONJWA WA MIREMBE!
 
Kuzima data au kuwasha ni kitu binafsi sasa usitake kuingilia watu kwani hata siku wananunua simu ulikuwa hujui.


Pambana na hali yako
 
Kuzima data sio kwa ajili ya charge pekee,,tunazima data sometimes kwa ajili ya kufanya shughuli zingine,,,unapokuwa busy una avoid whtsapp calls,, sms,,,na chating .....NA SI SABABU YA CHARGE....
 
Acha kuwapangia watu maisha wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…