Tabia ya kuwakumbuka wanawake tukiwa na nyege ni mbaya sana.

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,289
Wanaume wenzangu hasa tukianza na mimi mwenyewe. Tumekua na tabia mbaya sana ya kuwapotezea wanawake na kuja kuwakumbuka tukiwa na nyege tu.

Hii inapelekea kuleta mkanganyiko pale unapo mtafuta mtu mwisho wa siku na yeye anakua na ratiba zake halafu tunaanza kulalamika hawafai.

Tujifunze njia nzuri ya kuwakumbuka hata tusipo kuwa na nyege hii njia inarahisisha sana ulaji wa mbususu siku utakayo kuwa na nyege.

Siku ambayo utakua hauna hamu ni siku ambayo utakua haipo desparete na mbususu hivyo utakua kawaida tu. Hata ukigingwa mzinga mkubwa utaweza kuupunch cos utakua unatumia akili za juu. Ila ukiwa na nyege unatumia akili za chini hivyo hautakia na akili nzuri za kujikontroo na kupelekewa kuendeshwa tu kama mzigo.

Embu ukiwa na akili za kawaida mtext huyo demu meseji ya kawaida tu meambie "lunch yako ya leo juu yangu" usiongee maneno mengi kisha mtumie kitu cha ten tu then kausha. Hata akijaribu kukuchatisha vipi mkatishe mazungumzo jifanye upo busy sana hata kama umelala tu magetoni.

Niamini mimi hapa lazima manzi utakua umempa wakati mgumu sana wa kukutafakari na kutaka kujua kuna nini ....na kikubwa zaidi ukisha fikia hatua hii ya kumake headlines kwenye ubongo wake basi usha fanikiwa kuchukia attention yake. Na kwa mwanamke ukisha chukua attention yake basi ushamaliza.

Meseji nyingine inayo fata baaada ya hiyo siku nyingine hapo kama Siku tatu nne mbele mwambie "Lunch ya leo utakula wapi nije nikusimamie ule ushibe unenepe" akikutajia usikose kwenda na akila hakikisha umemlipia na kumuuliza umeshiba. Akisema ndio Muite muhudumu mwambie ampe maji madogo asimpe makubwa hamtaki mizigo mingi. Akicheka tu we jua tayari mtoto ushamuingia kikamilifu.

Then tawanyikeni jifanye upo busy tena unamajukumu mengi kama siku tano sita mbele hapa utakua ushamtengenezea mazingira ya kukumic muombe mtoke dinner au out nje ya mji na umesha andaa kila kitu hapo mkitoka huko utajiongeza mwenye mimi msaada wangu umeishia hapo.

Kama utajikuta wewe ni muhadisia muvi mwingi hayaaa, kama utajikuta wewe ni mzee wa kujisifia jisifie weeee hadi uonekane bwege mtozeni ...badala ya kutengeneza mazingira ya kilicho kupeleka.

Ukifanikisha hapa basi huyo ni wako tu ytamuita ukiwa na nyege muda wowote utajikamulia.

NB
Hii mbinu kwa wale walio kosa stata inafanya kazi kwa asilimia 90, na muwe mpo mazingira tofauti ya kazi.
 
Wazo la kinyonge sana hili
 
Back
Top Bottom