Tabia ya kuning'iniza funguo za gari kiunoni

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
4,809
6,342
Hii tabia iko zaidi kwa sisi 'ME', ingawa 'KE' nao wana kale katabia kao ka kuzungumza huku wakii-display funguo ya gari mkononi, ikiwa ni pamoja na kujifanya wanaitumia kujikuna.

Najua kuna watu watahusisha bandiko langu na wivu, ila sijali. Nitoe tu angalizo kwamba ni vema tujifunze kutofautiana pasipo kugombana.

Back to square one... hivi jamani, hizo funguo huwa hazitoshi mifukoni? Au saa zingine unakuta mtu amekaa mahali katandaza masimu mezani halafu na funguo za gari pembeni...but why? Si muzihifadhi mifukoni?

Halafu funguo lenyewe unakuta ni ile traditional car key...funguo iko kama kisu!! Afadhali hata ingekuwa smart, valet, switchblade n.k.

Mwingine unakuta gari kaacha nyumbani, yupo mtaani ila funguo kiunoni..acheni bana ...

Ndukiii....
 
Hii tabia iko zaidi kwa sisi 'ME', ingawa 'KE' nao wana kale katabia kao ka kuzungumza huku wakii-display funguo ya gari mkononi, ikiwa ni pamoja na kujifanya wanaitumia kujikuna.

Najua kuna watu watahusisha bandiko langu na wivu, ila sijali. Nitoe tu angalizo kwamba ni vema tujifunze kutofautiana pasipo kugombana.

Back to square one...hivi jamani, hizo funguo huwa hazitoshi mifukoni? Au saa zingine unakuta mtu amekaa mahali katandaza masimu mezani halafu na funguo za gari pembeni...but why? Si muzihifadhi mifukoni?

Halafu funguo lenyewe unakuta ni ile traditional car key...funguo iko kama kisu!! Afadhali hata ingekuwa smart, valet, switchblade n.k.

Mwingine unakuta gari kaacha nyumbani, yupo mtaani ila funguo kiunoni..acheni bana ...

Ndukiii....
 
Push to start....
Screen-Shot-2015-12-21-at-7.13.52-AM-800x397.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom