Tabia ya kuhonga Wanawake...

duh, boflo unatisha, sasa wife akiona hii si balaa...lol.......au hujaoa boflo.......lol.......hahahahahaha!
Hivi men wa Jf wana tabia kama yangu ya kupenda kuhonga??

Ninasikia raha kuhonga....hasa pale ninapofanikiwa kumnasa mlengwa (napiga mapigo ya kifashisti)

Kuna ubaya kuhonga? ur advice plz
 
mi nahonga nikishapata K na kuithaminisha kiwango.
km ni liquid liquid lala mbele weye
 
hivi men wa jf wana tabia kama yangu ya kupenda kuhonga??

Ninasikia raha kuhonga....hasa pale ninapofanikiwa kumnasa mlengwa (napiga mapigo ya kifashisti)

kuna ubaya kuhonga? Ur advice plz
u r dhaifu
 
kama domo zege kubali kuliwa pesa zako.na karibia wengi wanaotoa pesa wanapaformance yao ni ndogo sana.ni chini ya kiwango.
 
mi nahonga nikishapata K na kuithaminisha kiwango.
km ni liquid liquid lala mbele weye

Tupo pamoja sana. Mimi sifugi mtu hata siku moja, "Hit on demand basis" ndiyo principle zangu. Nakata mzigo kwa ubora wa mashine na shughuli yenyewe kisha kila mtu alale mbele.

Ila bado ukweli upo pale pale nahonga. Nashauri tuanche kuwacheka wahongaji, kwani kila mwanaume anahonga kulingana na mfuko wake. Mwenye madafu mawili kisha akahonga moja huyu ni mbaya sana kupindukia kuliko mwenye Sh.1Bil akahonga gari la Sh.10M. Mwenye madafu kahonga nusu ya kipato chake, huyu hafai hata kidogo. Tuhonge kwa staha na mipango tusiathiri wanaotutegemea.
 
Kuhonga ni asili, hakuna kiumbe kisicho honga, angalia njiwa, jogoo, mbuzi kila mmoja ana style yake ya kuhonga
 
Mume nae anaweza kumhonga mkewe au hii ni maalum kwa wapenzi, ma-player na playettes?
 
mh jamani kama unataka kunga si ukanunue za kununua upite zako kuliko kununua upendo feki ukakaa hapo kile kilichokupata upate nafasi ilikuwa pesa zikikata jihesabie kumwagwa pendeni mpendane mambo ya urefu wa mfuko wako later kupalilia 2 si kianzio.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom