Tabia ya kuegemea magari ya watu

Tabia ya kuegemea magari ya watu

Kuegemea tu gari unalialia hvyo sasa ukipigwa pasi si utapiga mayowe mjini. Kweli siku hz watu wanathamini vitu kuliko mtu
Kuheshimu Mali ya mwenzio ni UTU. Kulelea tabia za cave people kwa kisingizio cha utu huo ni ujinga. Ni bora nipigwe pasi ijulikane lakini Jitu lisilojua ata bei ya gari lina kuja kukaa kihasarahasara kwangu haipo lazima nikutimue tu. By the way siendeshi vigari vyenu vya kijapani vya sh kumi kumi.
 
Hawa ndo nyumbani kwake humpimia mkewe idadi ya matonge na nyama wakti was chakula...pusi
 
Kuna Gari za Kuegemea na kuna Gari ambazo hata iweje huwezi jaribu kuiegemea.... vigari vya bei poa vingi hufanana na viti so kuegemea inakuja automatic tu
 
Kuheshimu Mali ya mwenzio ni UTU. Kulelea tabia za cave people kwa kisingizio cha utu huo ni ujinga. Ni bora nipigwe pasi ijulikane lakini Jitu lisilojua ata bei ya gari lina kuja kukaa kihasarahasara kwangu haipo lazima nikutimue tu. By the way siendeshi vigari vyenu vya kijapani vya sh kumi kumi.
sh kumi kumi...jaman Dunia hadaa kiatu chake dawa
 
Wamenikwangulia rangi sana sana na sarawili za jeans, zipu wakigeuka zinakwangua rangi. Ni tabia mbaya sana kusema ukweli japo watu wanaona mwenye gari anajidai. Niliwahi kukuta wamelia hapo chips na soda gari wameigeuza meza.....
Hahaha
 
Kuheshimu Mali ya mwenzio ni UTU. Kulelea tabia za cave people kwa kisingizio cha utu huo ni ujinga. Ni bora nipigwe pasi ijulikane lakini Jitu lisilojua ata bei ya gari lina kuja kukaa kihasarahasara kwangu haipo lazima nikutimue tu. By the way siendeshi vigari vyenu vya kijapani vya sh kumi kumi.
Basi nia ya thread yako ilikuwa kutuambia aina gani ya gari unayotumia swala gari yako kuegemewa ilikuwa njia tu. Haya tuambie ni gani hyo ya mamilion isiyoegemewa
 
Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyo hovyo tu ipo sana hasa hasa jijini Dar Ee Salaam. Umepaki gari lako, salama bin salmin kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui hata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.

Hao mara nyingi wanakuwa wezi tu. Sasa kama hakuna gari wanaegemea wapi?
 
Watu mnaotoa povu wengi wenu hamjua kero ya hii tabia ya mtu kakaa mahala kaweka limwil lake kwenye bonet ya gari. Hii tabia hata mimi inanikera sana kwanza nimeshanyoosha bonet kama mara 5 hivi mtu anakaa gar zenyewe zina bodi nyepes yye analala hapo. Kwakwel mm nikimkuta lazima nimpe kubwa
 
Kukaa ni tofauti na kuegemea mkuu. Hata mimi nilikua muegemeaji mzuri wa magari ya staff wa chuo lkn sikuwahi kukaa
 
Kuheshimu Mali ya mwenzio ni UTU. Kulelea tabia za cave people kwa kisingizio cha utu huo ni ujinga. Ni bora nipigwe pasi ijulikane lakini Jitu lisilojua ata bei ya gari lina kuja kukaa kihasarahasara kwangu haipo lazima nikutimue tu. By the way siendeshi vigari vyenu vya kijapani vya sh kumi kumi.
mkuu watimue siku upate ajali wakuache ufie humo ndani tena wakuibie kila kitu.
hakuna kitu kizuri kama kuishi na watu vizuri
 
Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyo hovyo tu ipo sana hasa hasa jijini Dar Ee Salaam. Umepaki gari lako, salama bin salmin kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui hata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Tuondolee povu hapa na kigari chako cha mkopo.
 
Hii nayo ni kero,ngoja tumsubirie mkuu wetu wa mkoa makonda alishughulie,Mkuu wetu hapendi kero kwa wananchi wake
 
Iwekee ALARM maana itakuwa kero kwelikweli 24/7. Utafiti wa 0.25 unaendelea kusimama
 
Ukijifanya una roho nzuri eti watu wataniona mbaya, utaishia kupata hasara mpaka ukome!

Mi mchana leo wa saa saba lunch time, nimeenda napopaki ( mwendo wa dk 3 na ofisini)

Huwa mda huo naenda kujilaza garini, wale waoshaji ni (wadada wafanya usafi hiyo sehemu) basi wamejaa kwenye boneti, matambara na ndoo zao za kuoshea Magari vyote wamevipandisha juu ya boneti la gari yangu, wanasubiri kula vichwa!

Nimeishia kuwaangalia tuu maana siwezi maneno na wanawake nna hasira mnoo!

Binafsi sipendi mtu asiyeheshimu kitu cha mwenzake!
 
Ukijifanya una roho nzuri eti watu wataniona mbaya, utaishia kupata hasara mpaka ukome!

Mi mchana wa saa saba lunch time, nimeenda napopaki ( mwendo wa dk 3 na ofisini)

Huwa mda huo naenda kujilaza garini, wale waoshaji ni (wadada wafanya usafi hiyo sehemu) basi wamejaa kwenye boneti, matambara na ndoo zao za kuoshea Magari vyote wamevipandisha juu ya boneti la gari yangu, wanasubiri kula vichwa!

Nimeishia kuwaangalia tuu maana siwezi maneno na wanawake nna hasira mnoo!

Binafsi sipendi mtu asiyeheshimu kitu cha mwenzake!

Hawa watoa povu hawajui madhira tunayopata wao wanadhan gari ni kama ndoo ya kuchotea maji
 
Back
Top Bottom