Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,638
Teh halafu na nyie mnao niomba lift na baiskeli yangu wakati napanda mlima sio ishu
Hahaaaa! Naianza asubuhi yangu vema! Watu mmejaaliwa kutoa majibu muafaka! Ahsante Mkuu Upiversity....teh hee hee.,ukirudi home ingia nalo chumbani!
.utazoea lakini
shida nini kwani, acha kuthamini mali kuliko utu, inaonekana wewe hata jirani zako unawapa tabu sana, too much selfish, mi sioni tatizo mtu kuegemea gari, hapa Dar watu wanaacha magari yao sehemu kibao, watu wanapigana pasi za kutosha na bado mtu ha mind, anakuacha tu uende, labda kama una kaugeni fulani hv.Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
sure, hata akiigonga na kiungo cha mwili si rahisi kuvunjikaKama taa ya gari yako ni mbovu badilisha tu maana hakuna gari inayoweza kupasuka taa kwa kuegemewa na mtu.
umenunu jana???????????????Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Mkuu kwani huyo binadamu mwenzako anayeegemea hilo gari lako na hilo gari lako lenyewe ni kipi chenye thamani zaidi kwako?Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Sina ugeni wowote, lakini ni tabia ya watu wasiona upeo na hii inadhihirishwa na wachangiaji wengi, nimekaa nchi kibao Huu upuuzi ni hapa dar tu ndio naona umeshamiri.shida nini kwani, acha kuthamini mali kuliko utu, inaonekana wewe hata jirani zako unawapa tabu sana, too much selfish, mi sioni tatizo mtu kuegemea gari, hapa Dar watu wanaacha magari yao sehemu kibao, watu wanapigana pasi za kutosha na bado mtu ha mind, anakuacha tu uende, labda kama una kaugeni fulani hv.
...umeanza lini kumiliki gari...labda tuanzie hapoHii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.