Tabia ya kuegemea magari ya watu

Tabia ya kuegemea magari ya watu

Nadhani umejichanga umenunua ki ist sasa ndo umekuja mbio mbio kufungua thread hapa
Kwa taarifa yako Mimi na waegemeaji wenzangu tutaendelea kuegemea magari yenu maana mnatuchafulia hewa yetu.
[HASHTAG]#teamkuegemea[/HASHTAG] magari#
 
mkuu kuwa mpole tu la sivyo ukiwa mkali watalikwangua hata kwa jiwe kukumoa......
 
Nadhani umejichanga umenunua ki ist sasa ndo umekuja mbio mbio kufungua thread hapa
Kwa taarifa yako Mimi na waegemeaji wenzangu tutaendelea kuegemea magari yenu maana mnatuchafulia hewa yetu.
[HASHTAG]#teamkuegemea[/HASHTAG] magari#
ha ha ha ha
 
Peleka kariakoo wakapangie viatu na nyanya
 
Tabia mbaya ni tabia mbaya. Haijalishi kama ni vits ya kwanza ya mkopo ambayo haijafikisha mwezi au la. Heshimu mali ya mtu huna haki ya kumpangia.

And while we are on the subject respect my personal space too. If you are behind me in a queue back up a little, I don't need to hear you breathing.
 
Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Mkuu kuna mafuta fulani kwenye maduka ya dawa za asili yapo kama upupu, dawa yao nenda katafute pakaa kwenye sehemu wanazopenda kuegemea halafu utarudi hapa kutoa shukrani
 
Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Mtoa mada umenikumbusha parking yangu niliyoizoea ipo karibu na geti la mlinz apa kibaruani akikaa kutia stor na wagen wake gari inakua sehem ya kiti ss ivi linadimpoz za kutosha na michiriz ya vifungo vya jeans sema hamna namna inabid kuzoea, ingawa hawa wanaokuponda ndio wale watakwambia bodi haijakaa vizur siku ukitaka kuliuza
 
Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Ukikuta Ubungo stendi ya mkoa wameegemea, ujuwe kuna mmoja wanamziba ili ang'oe taa au kitu kingine...
 
Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
hawezi kuvunja taa zako , gari LA magufuli lenyewe linaegemewa, sembuse pako
 
kwani akiiegemea hiyo gari kuna hasara yoyote unayoipata ????? au anaichubua rangi????? kwa usawa huu wa magu hujui ya kesho ikeme hiyo roho ikutoke
 
Mbona kawaida tu kuegemea, na mara-nyingi mapya ndio yanaegemewa😀
 
Acha roho mbaya wewe, kweli maskini akipata masaburi hulia mbwata.
 
Back
Top Bottom