Tabia ya kuegemea magari ya watu

Tabia ya kuegemea magari ya watu

kwani akiiegemea hiyo gari kuna hasara yoyote unayoipata ????? au anaichubua rangi????? kwa usawa huu wa magu hujui ya kesho ikeme hiyo roho ikutoke
Wanakwangua rangi, kwa kujua au kutokujua. Ni uharibifu.
 
Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyohovyo tu Ipo sana hasahasa jijini dar Ee salaam , umepaki gari lako, salama bin salmin ,kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui ata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Unaabudu magari, umaskini huo.
 
Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyo hovyo tu ipo sana hasa hasa jijini Dar Ee Salaam. Umepaki gari lako, salama bin salmin kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui hata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Waliokopa magari utawajua tu kwa matendo yao
 
Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyo hovyo tu ipo sana hasa hasa jijini Dar Ee Salaam. Umepaki gari lako, salama bin salmin kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui hata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
mimi nina kastarlet kangu namba A kwakweli sijawahi kumkuta mtu ameegemea hata siku moja
 
Nadhani umejichanga umenunua ki ist sasa ndo umekuja mbio mbio kufungua thread hapa
Kwa taarifa yako Mimi na waegemeaji wenzangu tutaendelea kuegemea magari yenu maana mnatuchafulia hewa yetu.
[HASHTAG]#teamkuegemea[/HASHTAG] magari#
 
Mkuu acha roho mbaya.
Kuegemea tu unalalamika nikajua labda wamekuharibia kumbe hutaki tu liegemewe basi.
Utakuwa na tatizo wewe si bure.
 
Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyo hovyo tu ipo sana hasa hasa jijini Dar Ee Salaam. Umepaki gari lako, salama bin salmin kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui hata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
acha roho mbaya unaonekana hata lift hutoi
 
Sina ugeni wowote, lakini ni tabia ya watu wasiona upeo na hii inadhihirishwa na wachangiaji wengi, nimekaa nchi kibao Huu upuuzi ni hapa dar tu ndio naona umeshamiri.
Ndiyo nyumbani kwenu sasa no way out you have to accept it!!
 
Naunga mkono hoja. Wengine anapark karibu yako halafu anafungua mlango wake kwa nguvu na kukuachia alama. Halafu anaendelea na shughuli zake kana kwamba hamna kilichotokea, hana habari.
Sasa siuende kwa fundi kurekebisha hako kamchubuko tu.
 
Hii tabia ya kuegemea magari ya watu hovyo hovyo tu ipo sana hasa hasa jijini Dar Ee Salaam. Umepaki gari lako, salama bin salmin kutoka na kurudi unakuta Jitu limeegemea garil lako, tena kwenye taa, halijui hata bei ya taa wala rangi. Hii tabia ni kero sana naomba ikomeshwe.
Kuegemea tu gari unalialia hvyo sasa ukipigwa pasi si utapiga mayowe mjini. Kweli siku hz watu wanathamini vitu kuliko mtu
 
Back
Top Bottom