[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Give my SPERM back!
Na wewe urudishe maunooo yangu niliyokuwa nakukatikia unasikia rahaaa\Give my SPERM back!
Jibu moja hajarud tenaHatareeeee
Mkuu naona umekuja kututukana huku
Yaani wasukuma tulivowapole hivo
Hayujui makuu
Tukimdondokea moyo yaani acha tu atafaidi mpaka basi
Huwa tunadai mahali tu kwa sababu ni za jamii lakini kuhonga akaa sisi siyo wachaga hahahah
Hapana nafanya nachoweza n.a. kwa roho safi siwezi mdai mtu baada ya kuachana kama tu baadh ya madeni naona tabu kumdai mtu iweje kwa tuliyeachanaUtakuwa mbahili Sana Wewe cyo bure [emoji23]
Ubak ivo ivo jamaniiiiHapana nafanya nachoweza n.a. kwa roho safi siwezi mdai mtu baada ya kuachana kama tu baadh ya madeni naona tabu kumdai mtu iweje kwa tuliyeachana
Uyo jamaa mbinafsiUbak ivo ivo jamaniiii
Kuna jiran yangu kafukuza mke kamnyang'anya kila kitu mpk mtoto wa miez 2,kamwambia aondoke kama alivyokuja
Nilicheka Sana cku iyo, mke kasepa na beg tu vingine alivyonunuliwa na mume kaacha
Cpendi haya mambo kabisaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na nikiwa muhenga sijui itakuajeinaelekea wewe ni mkorofi Sana
Tena umeridhi kwa mama [emoji23][emoji23]
Wala hujakoseaBi Hindu wa Baadae [emoji16]
Acha kututhingithia wewe?Tumekutana na case za wanaume wa Kisukuma kama wanne hivi yaani wanamdai demu mpaka vocha ya jero labda kwa vile jamaa hawakula mzigo hahahaaa
[emoji23][emoji23].........Subiri Usiku wa manane Usikie Wanavolia...[emoji125]Sugar mamy huwa wanadai kwakwel, marioo watakuwa wanajua paka shoga analiaje, mm hii nimeickia kwako hii mweh [emoji23]