Hata mijibwa ipo inalia kama Shoga...Tega sikio[emoji125]Mtaan kwetu Hakuna mapaka, kuna mimbwa inaliaga kama wako msibani.
Hahahhaaaa kwaiyo ulirudisha vitambaa vyake?Mimi imenitokea tumeachana mdada aliwahi kunipa zawadi ya vitambaa vya kufuma ili nipambe ndani, tumeachana kaanza kunidai,
Sasa huyu ni mwanamke na sio mwanaume kama mnavyodai, Mimi naona inategemea na mtu mwenye,
Matokeo yake nilimpa lakini akanigeuzia kibao Mimi sitaki tena vitambaa nataka pesa, nikamuuliza shilling ngapi akadai elfu kumi na tano, nikampa nikabaki na vitambaa, na Mimi mpaka Leo navitumia imekuwa kama kumbukumbu,Mimi imenitokea tumeachana mdada aliwahi kunipa zawadi ya vitambaa vya kufuma ili nipambe ndani, tumeachana kaanza kunidai,
Sasa huyu ni mwanamke na sio mwanaume kama mnavyodai, Mimi naona inategemea na mtu mwenye,
Hahahahaaaa! Akaamua kukuuzia jumlaMatokeo yake nilimpa lakini akanigeuzia kibao Mimi sitaki tena vitambaa nataka pesa, nikamuuliza shilling ngapi akadai elfu kumi na tano, nikampa nikabaki na vitambaa, na Mimi mpaka Leo navitumia imekuwa kama kumbukumbu,
Mi huwa zawadi yangu sperms tu, mwanaume huwezi kudai sperms,![]()
Zamani Nilikuwa naogopa Sana kupokea zawadi ya aina yoyote kutoka kwa boyfriend kwa kuhofia kudaiwa baada ya mahusiano kwisha, kama[emoji115][emoji115]ivo[emoji23][emoji23]
nakumbuka niliwai kupewa simu, niliiweka tu nyumbani tena kwenye begi la nguo ili icje ikaharibika na Mwisho wa siku tuliachana nikaambiwa CM yangu jumapl uilete nanikairudisha ikiwa mpya
Sasahv nikipewa hela na anko boyfriend Hiyo Hiyo Ntairudisha kwake kwa kumnunulia zawadi
Kulingana na pesa aliyonipa
Kwanini wanaume huwa mnadai zawadi mlizokuwa mnawapa wapenzi wenu jamaniiii
Rudisha mali za watu![]()